İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kwa sababu rahisi, ndani sana ya moyo wake, mapenzi yake kwa mpakistani na kuwa mhindi havipaswi kwa lazima viwe vitu vinavyopingana.
simply because, deep in her heart, love for a pakistani and being indian need not necessarily be a conflicting experience.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa mujibu wa kabwe songolo, vitendo vya serikali ya afrika kusini na fifa havipaswi kutupotezea mwelekeo wa kufurahia kandanda lenyewe:
according to kabwe songolo, the conduct of the south african government and fifa shouldn't detract from the fun of the sporting event itself:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ubaguzi wa rangi, uwepo wa matabaka, ubaguzi wa watu wa jinsia tofauti, hofu ya ushoga, kutovumiliana kidini pamoja na upendeleo wa aina nyingine vinaweza kuwapo na vipo katika jamii yetu, lakini havipaswi kuwepo kisheria.
racism, classism, sexism, homophobia, religious intolerance and other biases can and do exist in our society, but they must not exist under the law.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kibinafsi, kilichonihamasisha kuandaa tukio hili la kugawa vitabu, ni wazo ambalo lina mvuto: ninaamini kuwa kuna vitu kwenye maisha ambavyo vyapaswa kuwa bure, kama elimu na kusoma: vitabu havipaswi kuwa kwa ajili ya wale wanaovilipia pekee, vyapaswa kupatikana zaidi, watu walipate kwenye maeneo ya umma bila kuvilipia (iwe fedha au kazi) ili kuvipata.
personally, what drives me to organize this massive giveaway event, has to do with an idea that is a bit romantic: i believe that there are things in live that should be free, like education and reading; books should not only be for those who can pay for them, they should be more accessible, people should find them in public spaces without having to give something up (money or work) to acquire them.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: