Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
hekima
wisdom
Son Güncelleme: 2016-01-26
Kullanım Sıklığı: 7
Kalite:
Referans:
hekima ni uhuru
Son Güncelleme: 2020-07-10
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mwenyezi mungu mjaalie hekima mwanangu
وفقك الله يا بني
Son Güncelleme: 2023-01-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
eee mungu nisaidie kuwa na moyo wa hekima
god has given me a heart of wisdom.
Son Güncelleme: 2023-05-29
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
wayahudi wanataka ishara, na wagiriki wanatafuta hekima;
for the jews require a sign, and the greeks seek after wisdom:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
aliotukirimia bila kipimo! kwa hekima na ujuzi wake wote
wherein he hath abounded toward us in all wisdom and prudence;
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hekima,amani, busala na upendo vitawale kwenye maisha yako
wisdom, unity and peace
Son Güncelleme: 2023-09-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
awe na utu,busara,hekima,mcheshi,mpenda watu,mwenye mapenzi na kujali
awe na utu, busara, hekima, mcheshi, mpenda watu, mwenye mapenzi na kujali
Son Güncelleme: 2020-12-07
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hata hivyo, hekima ya mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali."
but wisdom is justified of all her children.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi: msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima.
see then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu apendavyo roho huyohuyo.
for to one is given by the spirit the word of wisdom; to another the word of knowledge by the same spirit;
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya mungu ilikuwa pamoja naye.
and the child grew, and waxed strong in spirit, filled with wisdom: and the grace of god was upon him.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
naye yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na mungu na watu.
and jesus increased in wisdom and stature, and in favour with god and man.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ni hekima ambayo watawala wa dunia hii hawakuielewa; maana wangalielewa, hawangalimsulubisha bwana wa utukufu.
which none of the princes of this world knew: for had they known it, they would not have crucified the lord of glory.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mojawapo ya mila za wabuda wa tibet ni kuchoma siagi katika taa, ambayo huonyesha nuru ya hekima na kutoa pepo mbaya.
one of the spiritual practices among tibetan buddhists is to offer a lighted butter lamp that represents the illumination of wisdom and to purify bad karma.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
natamani nitembee katika upendo wa bwana, upendo ule wa dhati, upendo husiobagua, upendo uletao hekima, busara na amani, upendo wakimbingu pekee ulio bora
Son Güncelleme: 2021-03-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
unakumbuka kwamba tangu utoto wako umeyajua maandiko matakatifu ambayo yaweza kukupatia hekima iletayo wokovu kwa njia ya imani kwa kristo yesu.
and that from a child thou hast known the holy scriptures, which are able to make thee wise unto salvation through faith which is in christ jesus.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
msijidanganye! mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli.
let no man deceive himself. if any man among you seemeth to be wise in this world, let him become a fool, that he may be wise.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
akamwokoa katika taabu zake zote. mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya farao, mfalme wa misri, hata farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.
and delivered him out of all his afflictions, and gave him favour and wisdom in the sight of pharaoh king of egypt; and he made him governor over egypt and all his house.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa mungu, kina busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa mungu, kina nguvu zaidi kuliko nguvu za binadamu.
because the foolishness of god is wiser than men; and the weakness of god is stronger than men.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: