Şunu aradınız:: hiki ni choo (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

hiki ni choo

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

chakula hiki ni kitamu kama

İngilizce

this food is very tasty

Son Güncelleme: 2020-10-22
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hiki ni kimbunga cha aina yake.

İngilizce

with no doubt, this is the biggest political upset in south african history.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,

İngilizce

that is the (holy) book, where there is no doubt. it is a guidance for the cautious (of evil and hell).

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nchi sita kati ya 32 zinazoshiriki shindano hili, hiki ni kiwango kikubwa cha ushiriki wa waislam.

İngilizce

in six out of the 32 countries in competition, islam has a significative presence.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hiki ni kikwazo kingine kwa haki za binadamu nchini misri na kwa kweli hakitahamasisha watu kuja nchini au kuwekeza.

İngilizce

this is another setback to human rights in egypt and actually it will not encourage people to come to the country or invest in it.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

akasema: hiki ni kitendo cha shet'ani; hakika yeye ni adui, mpotezaji dhaahiri.

İngilizce

"this is of satan's doing," he said. "he is certainly an enemy and a corrupter."

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

hiki ni kitabu ambacho aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa mwenye hikima na mwenye khabari,

İngilizce

(this is) a book whose verses are clear, and then distinguished from him, the wise, the aware.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kipimo hiki ni mahususi na kimeundwa ili kugundua protini ya rna ya virusi vya sars-cov-2 pekee.

İngilizce

this test is specific and is designed to only detect the rna of the sars-cov-2 virus.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

alif lam ra. hiki ni kitabu ambacho aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa mwenye hikima na mwenye khabari,

İngilizce

alif lam ra (this is) a book, whose verses are made decisive, then are they made plain, from the wise, all-aware:

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kama moja wapo ya malengo yako kiangazi hiki ni kuwafahamu zaidi (au kwa mara nyingine) waandishi wetu wa kifaransa, usihangaike sana.

İngilizce

if one of your goals for this summer was to get (re)acquainted with francophone authors, look no further.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

wapiga kura walimkamata mtu mmoja kwenye mji fulani mdogo akiuza akaunti za twita zenye wafuasi zaidi ya 40,000 kitendo hiki ni kinyume cha sheria ya uchaguzi nchini brazil.

İngilizce

voters caught one man in a small town in the interior selling off twitter accounts with 40,000+ followers for the sickeningly low price of us$125. this is illegal under brazilian electoral law.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

katika kipindi hiki ni haja za kibinaadamu opekee ambazo zinafanya kazi, haja ya kuwalinda wale uwapendao, haja ya kuhakikisha unayo malazi na maamuzi ya haraka ya aidha kukimbia au kupigana.

İngilizce

at this point, bare human instinct is at work, the need to protect your loved ones, the need to ensure shelter and the instinct of fight or flight.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mshindani mwingine katika kigezo hiki ni han han, mwandishi wa riwaya mwenye ufanisi mkubwa ambaye pia ni dereva wa magari ya mashindano wa huko china ambaye ametokea kuwa mwanablogu aliyesomwa sana nchini china na mshiriki katika shindano la 100 bora wa gazeti la time.

İngilizce

another contender of this category is han han, a prolific novelist and race car driver from china who happens to be china's most read blogger and a contender for time magazine's top 100 list.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

umati wa watu ulipozidi kuongezeka, yesu akawaambia, "kizazi hiki ni kizazi kiovu. kinataka ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ya yona.

İngilizce

and when the people were gathered thick together, he began to say, this is an evil generation: they seek a sign; and there shall no sign be given it, but the sign of jonas the prophet.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

na hiki ni kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa, chenye kuhakikisha yaliyo tangulia, na ili uuwonye mama wa miji na walio pembezoni mwake. na wenye kuamini akhera wanakiamini hichi, nao wanazihifadhi sala zao.

İngilizce

and this is a book we have revealed, blessed, verifying that which is before it, and that you may warn the metropolis and those around her; and those who believe in the hereafter believe in it, and they attend to their prayers constantly.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kipindi hiki ni maarufu kiasi kwamba walaiberia wengi hata wamekitumia kipindi kutania juu ya upungufu wa hivi karibuni wa wayai ya kuku katika masoko ya liberia: kuku wa liberia sasa wanasikiliza kipindi cha “na tuzungumze kuhusu ngono!” na wanafanya ngono salama!

İngilizce

the show is so popular that the liberian populace have even used the show to coin a joke in response to the recent shortage of chicken eggs on the liberian market: chickens in liberia now listen to ‘let’s talk about sex!’ and practice safe sex!

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,779,425,382 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam