İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
namibia: kampeni ya kukomesha chanjo za lazima
namibia: petition to end forced sterilisation · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
misri: maandamano ya kukomesha udhalilishaji wa kijinsia yavamiwa
egypt: march to end sexual harassment attacked · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
waandaalizi wana nia ya kukomesha sheria inayokinga ubakaji ndani ya ndoa nchini singapore.
the organizers aim to abolish the marital rape immunity law in singapore.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
bunge la taifa la togo limepiga kura ya kukomesha adhabu ya kifo na kuifanya nchi hiyo kuwa mwanachama wa 15 wa umoja wa nchi za afrika kuipiga marufuku adhabu hiyo.
togo's national assembly voted on tuesday to end the death penalty for all crimes, making it the 15th member of the african union to abolish capital punishment.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
familia za wahanga zilikataa kuzika miili ya ndugu zao na wametangaza kuwa wataendelea na maandamano ya kupinga unyanyasaji wa kikabila hadi hapo jeshi litakapochukua hatua ya kukomesha mauaji haya ya kinyama.
the families of the victims have refused to bury their dead and have announced that they will continue a sit-in unless the army takes action against the killing sprees.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
maoni ya mwanzo katika ulimwengu wa blogu na ule wa twita yalitofautiana kutokea yale yanayosema kwamba hali iliyopo ni sawa na mapinduzi ya kijeshi mpaka yale yanayosema kuwa ile ilikuwa ndio njia pekee ya kukomesha jitihada za zelaya za kutaka kugombea urais kwa awamu nyingine tena.
the reaction from the blogosphere and twittosphere ranged from calling the situation a coup d'état to those who saw the move as the only way to stop zelaya's controversial move.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kampeni ya kukomesha chanjo kwa kulazimishwa nchini namibia imezinduliwa: “ umoja wa asasi za kijamii umetoa wito kwa wanamibia wote kujiunga na kampeni ya kulaani chanjo kwa wanawake waishio na vvu bila ya ridhaa yao.
a campaign has been launched to end forced sterilisation in namibia: "a coalition of civil society organisations has called on namibians to join a campaign condemning the sterilisation of women living with hiv without their informed consent."
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
nguyen hoang vi, mwanablogu raia wa vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikalisuala la nguyen hoang vi, mwanablogu raia wa vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali, ni mmoja ambaye suala lake limeibuliwa na makundi ya kutetea haki za watu wakati ambapo dunia inajiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya kukomesha udhalimu wa watawala hapo kesho tarehe 23 novemba.
nguyen hoang vi, a vietnamese blogger who was imprisoned for writing critical commentaries about the governmentthe case of nguyen hoang vi, a vietnamese blogger who was imprisoned for writing critical commentaries about the government, is among the issues raised by human rights groups as the world celebrates international day to end impunity on 23 november.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: