İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
mpelelezi maalum wa shitaka la veracruz amethibitisha kuwa mwandishi wa habari gregorio jiménez aliuawa
the special prosecutor of veracruz has confirmed that journalist gregorio jiménez was murdered.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
maafisa wa serikali nchini mexico wamethibitisha kuuawa kwa gregorio jiménez de la cruz, ajulikanaye pia kwa jina la “goyo”.
mexican authorities have confirmed the murder of gregorio jiménez de la cruz, aka “goyo”.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwili wa jiménez de la cruz ulikutwa katika makaburi la siri tarehe 11, februari, 2014, hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka el universal na la jornada.
the lifeless body of jiménez de la cruz was found in a clandestine grave on february 11, 2014, according to reports in el universal and la jornada.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
katika ukurasa wa twita, kiungo habari #hastaqueaparezcagoyo kilitumika kama namna ya kuiunga mkono familia na marafiki wa jiménez de la cruz wakati wa kipindi kigumu walichopitia.
on twitter, the hashtag #hastaqueaparezcagoyo was used to express support for the family and colleagues of jiménez de la cruz during the darkest hours.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa mujibu wa waandishi wa habari wasio na mipaka, "mexico ni moja ya nchi hatari sana duniani kwa maisha ya waandishi wa habari”, umoja huu unaongeza kuwa, “zaidi ya waandishi wa habari 80 wameshauawa katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, 17 hawajulikani walipo” kifo cha gregorio jiménez de la cruz lazima kijumuishwe katika idadi hii.
"mexico is one of the world’s most dangerous countries for journalists," according to reporters without borders. the organization adds that “more than 80 have been killed in the past decade, and 17 have disappeared”.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor