İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
elfu moja
one thousand five hundred
Son Güncelleme: 2021-08-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
bati mia moja
bati mia mbili
Son Güncelleme: 2021-03-23
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hamsini na moja
three hundred fifty-one
Son Güncelleme: 2022-08-17
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
subila juma chaka
subila chaka week
Son Güncelleme: 2022-09-18
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
bado hatujapata bei yake kwa juma
still kept it there for the gym
Son Güncelleme: 2022-09-18
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
leo ni siku gani yani juma ngapi
what day is today or how many weeks
Son Güncelleme: 2021-05-11
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
lakini ratiba ya uchaguzi huo imesogezwa mbele kwa juma moja zaidi kwa sababu ya matatizo ya kiuratibu.
but all scheduled elections have been pushed back for a week because of organizational problems.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ukurasa wa facebook wa kundi hilo ulikuwa maarufu, ukivutia watu 1,000 kuupenda ndani ya mwisho wa juma moja pekee.
the group's facebook page was popular, attracting more than 1,000 "likes" in a single weekend.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
video ifuatayo inatoa muhtasari wa matukio katika juma lililopita:
the following video provides a recap of the events over the past week :
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
bunge limemtaka waziri huyo ajieleze bungeni ilikuwaje akatoa matamshi hayo juma lililopita.
the parliament has summoned the minister to appear before it to explain the comment he made last week.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
waandishi hao wawili, ambao wanabadilishana sehemu kila juma, waliendelea kutokea hapo.
the two writers, who are switching places every week, went from there.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
juma lililopita tu, alikuwa kiongozi wa chamachenye viti vingi bungeni, alban bagbin.
just last week, it was the majority leader in parliament, alban bagbin.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ndani ya juma moja baada ya kuanza kwa maandamano, zaidi ya waandamanaji 20,000 walivamia mitaa ya vienna, wakitangulia kabla ya habari za vyombo vya habari vya kale.
within less than a week after the beginning of the protests more than 20,000 demonstrators roamed the streets of vienna, preceding any mass media coverage.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kwa zaidi ya juma moja, wa-venezuela wamekuwa wakishiriki maandamano ambayo, mpaka sasa, yamesababisha vifo nane, mamia ya majerhi na mamia wakiwekwa kizuizini.
for more than a week, venezuelans have been involved in mass protests that, until now, have caused eight deaths, hundreds of injuries and hundreds of arrests.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
habari mpya 04/03: tume ya taifa ya uchaguzi ilitangaza kwamba chaguzi zote zimesogezwa mbele kwa juma moja, kwa sababu ya kuchelewa kufika kwa vifaa vya kupigia kura.
update 04/03: the nation's election commission just announced that all elections would be pushed back a week, due the late arrival of voting materials.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
blogu ya capitol hill cubans pia iliandika habari za ‘kamata kamata’ hiyo iliyofanyika mwisho wa juma.
capitol hill cubans also took notice of the weekend's arrests.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
alihesabu, makala 2,700 na kutambua miendelezo minne iliyokuwa ikiachiana zamu kwa takribani juma moja kila mmoja: “maandamano yafanyika”, “maandamano yaendelea”, “maandamano yasambaa”, na hivi majuzi, “sawa, imetosha sasa.”
he counted 2,700 articles and identified four trends lasting roughly one week each: "protests take place", "protests continue", "protests widen", and recently, "ok, enough now."
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor