Şunu aradınız:: kiangazi (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

kiangazi

İngilizce

summer

Son Güncelleme: 2013-07-26
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:

Referans: Wikipedia

Svahili

kipindi cha kiangazi

İngilizce

summer

Son Güncelleme: 2011-01-22
Kullanım Sıklığı: 3
Kalite:

Referans: Wikipedia

Svahili

neno kiangazi ya mimea

İngilizce

summer word

Son Güncelleme: 2021-09-16
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.

İngilizce

when they now shoot forth, ye see and know of your own selves that summer is now nigh at hand.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

na kwa kile kinachostahili, hapa unaweza kuona orodha yangu ya vitabu vya kifaransa ninavyotarajia kuvisoma kiangazi hiki:

İngilizce

and for what it's worth, here is my own list of french books to read this summer:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

sikumbuki maswali kama hayo kuulizwa bada ya kuanguka kwa ndege ya shirika la ndege la ufaransa, air france kiangazi kilichopita.

İngilizce

i certainly don’t remember similar questions being asked after the air france crash last summer.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

chuo kikuu cha elmo sanat mjini tehran waliandamana wakiwa na picha ya kianoush asa, mwanafunzi aliyeuawa na vikosi vya ulinzi majira ya kiangazi mwaka 2009.

İngilizce

elmo sanat university in tehran marched with kianoush asa's photo, a student who was murdered by security forces in the summer of 2009.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kama moja wapo ya malengo yako kiangazi hiki ni kuwafahamu zaidi (au kwa mara nyingine) waandishi wetu wa kifaransa, usihangaike sana.

İngilizce

if one of your goals for this summer was to get (re)acquainted with francophone authors, look no further.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

"kwa mtini jifunzeni mfano huu: mara tu matawi yake yanapoanza kuwa laini na kuchanua majani, mnajua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.

İngilizce

now learn a parable of the fig tree; when her branch is yet tender, and putteth forth leaves, ye know that summer is near:

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

moja ya sababu alexander alikuwa nchini tajikistan mbali na maslahi yake kitaalamu katika eneo hilo, ilikuwa kwa sababu mkataba wake ulikwisha mwezi aprili na alihitaji kufanya kazi kujiongezea kipato kwa ajili ya familia yake wakati wa msimu wa kiangazi.

İngilizce

one of the reasons alexander was in tajikistan aside from his scholarly interest in the region, was because like all tas his contract ran out in april and he had to provide income for his family over the summer.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hisia zangu mara zote zilikuwa zikinielekeza kwamba mapinduzi haya yangefanyika majira ya kiangazi (sijawahi kuandika bayana juu ya hili, lakini nimelielezea hili katika majadiliano na sikutaka kuchangia lolote kuhusiana na sakata hili.

İngilizce

talking to informed mauritanians, some of them saw the coup coming during the summer (as it did), in the autumn, or not at all.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

wanawake katika jiji la jeddah huvaa gauni lijulikanalo kama "abaya", gauni hili hupaswa kuvaliwa juu ya mavazi mengine hivyo vaa nguo nyepesi za ndani haswa wakati wa majira ya kiangazi.

İngilizce

women in jeddah are dressed in an outside gown called “abaya”, it supposed to be worn over clothes so dress lightly beneath it especially in the summer.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

katika mahojiano na gazeti la “inrockuptibles” kiangazi kilichopita, n’diaye alisema kuwa aliamua kuondoka ufaransa na kuhamia berlin mwaka 2007 ‘kwa kiwango kikubwa kutokana na sarkozy”

İngilizce

in an interview with "inrockuptibles" magazine last summer, n'diaye said she had decided to leave france and move to berlin in 2007 "in great part because of sarkozy."

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,794,320,252 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam