İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kiholela maana
arbitrary meaning
Son Güncelleme: 2024-08-08
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nini maana ya kiholela
nini maana ya arbitrary
Son Güncelleme: 2018-04-06
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
Referans:
yamekuwa yakiendeshwa kiholela bila utaalamu wa kibiashara bali kisiasa.
parastatals have been run not on a business model but on a political model.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
al joresh ni mkosoaji mkubwa dhidi ya wizara ya mambo ya ndani ya saudi kwa kuwekwa watu kiholela kizuizini.
al joresh is an outspoken critic of saudi interior ministry's arbitrary detentions.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
alikusudia kutoa zawadi zipatazo 500 pamoja na barua ya kukuza uelewa wa watu kuhusu suala la kukamatwa kwa watu kiholela nchini saudi arabia.
she was planning to give away 500 gifts that contain a letter to raise awareness about the issue of arbitrary detention in saudi arabia.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mwaka umepita tangu kung'olewa madarakani kwa rais wa misri mohamed morsi na serikali mpya tayari inakosolewa vikali kwa uvunjifu wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kukamatwa kiholela kwa raia.
a year has passed since the ousting of egypt's president mohamed morsi and the new regime has already received a lot of criticism for the declining human rights condition which arbitrary arrest is a big part of.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
katika mukhtadha huo huo, kikundi kingine cha walimu walihamishwa kiholela, walifanya maandamano mbele ya ofisi ya waziri wa elimu ahmed ould bah, wakiupinga uamuzi huo na kudai kusitishwa mara moja hatua hiyo.
in the same context, another group of arbitrary transferred teachers, held a demonstration in front of the education minister ahmed ould bah's office, denouncing the decision and demanding its immediate retreat.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hakuna demokrasi bila ya uhuru wa kujieleza… na hakuna demokrasi ya kikatiba inayozuia tovuti… na si haki kufunga tovuti kupitia amri za kiholela za serikali ambazo hupitishwa na mamlaka ya serikali, mamlaka ya sheria na usalama wa taifa… si sahihi kwa mamlaka haya kuingiliana na kufanya kazi pamoja kama wanavyofanya… kuna utofautishaji upi kati ya matawi ya mamlaka haya?
there is no democracy without freedom of expression...and no constitutional democracy which blocks websites...and it is not right to ban those sites through administrative orders which are arbitrary and which are taken by members of the executive authority, the judiciary and national security apparatus...it is not correct for these authorities to intertwine and work together and if they do...where is the separation between the different branches?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: