İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kwa hiyo anc inamtetea julius malema kwa kuimba wimbo wenye maneno, “pigeni risasi makaburu, ni wabakaji”.
so the anc is defending julius malema for singing a song containing the lyrics, “shoot the boere, they are rapists”.
julius malema wiki chache zilizopita alichochea chuki dhidi ya watu weupe wa afrika ya kusini na makaburu kwa kuimba wimbo unaoitwa “uwa kaburu.”
julius malema in the last few weeks incited hatred against white afrikaners and boers by insisting on singing the "kill the boer" song.
mnamo jumanne ya oktoba 9, 1962, uganda ilijitwalia uhuru wake wakati bendera ya uingereza iliposhushwa, na bendera ya uganda kupandishwa wakati huo wa-ganda wenye furaha na matumaini mapya wakiimba wimbo wa taifa la uganda.
on tuesday 9 october, 1962, uganda got its independence as the union jack flag of england was lowered, the ugandan flag raised whilst jubilant ugandans sang the uganda national anthem.
wimbo wa taifa wa afrika kusini kwa wanaoongea kiingereza: ni njia kuu iliyoje ya kufafanua kwa kuonyesha wimbo wa taifa wa afrika kusini kwa wale kati yetu ambao kwanza hatuufahamu mpaka sasa, pili tunaoufahamu lakini pengine hatujui jinsi ya kutamka maneno yake na tatu ambao hatuongei lugha iliyo kwenye wimbo huo.
south african national anthem for english speakers: what a great way to visually explain the south african national anthem for those of us who firstly don’t know it by now, secondly know it but might not know how we are pronouncing it and thirdly don’t speak the languages in the anthem.
mwaka jana, malema aliongoza wanafunzi kuimba wimbo wa zamani uliotumika katika harakati za kupingana na ubaguzi wa rangi ulioitwa “ua kaburu” na jaji wa afrika kusini alimtia hatiani kwa matumizi ya hotuba ya kuchochea chuki kwa sababu ya maoni yake aliyoyatoa kuhusu mwanamke aliyemtuhumu rais jacob zuma kwa ubakaji.
last year, malema led students in singing an old anti-apartheid struggle song called 'kill the boer' and a south african judge found him guilty of hate speech because of comments he made about a woman who accused president jacob zuma of rape.
manao tarehe 14 septemba, wasanii wa tunisia hamzaoui med amine na kafon walitoa wimbo wao mpya ujulikanao kama 'houmani'. hadi sasa ukiwa na watazamaji zaidi ya milioni 3.4 katika mtandao wa youtube, wimbo huu umekuwa kama wimbo wa taifa miongoni mwa vijana nchini tunisia.
on 14 september, tunisian artists hamzaoui med amine and kafon released their newest song 'houmani'. with more than 3.4 million views on youtube so far, the song has become an anthem for tunisian youth.
hapo, wakiungwa mkono na baadhi ya wananchi wa mexico, wavenezuela hao walidai uhuru wa habari wakati huu ambapo vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza habari na kuimba wimbo wa "uhuru", "amani" na "hatutaki vifo zaidi", kisha wakaimba wimbo wa taifa wa venezuela kama inavyoonekana kwenye video ifuatayo :
there, with the support of several mexicans, venezuelans demanded freedom of information in the presence of media censorship and shouted in unison “freedom”, “peace”, and “no more deaths”, then sung the venezuelan national anthem as seen in the following video :