İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
katika mkesha wa mapinduzi mwaka 2011 wanachama wa kikundi hicho cha “wasiojitambulisha” waliotawanyika duniani kote walishambulia tovuti kadhaa za serikali katika kile kilichoitwa operation tunisia.
on the eve of the revolution in 2011 anonymous members worldwide targeted several governmental websites in what was known as operation tunisia.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakati wa kimbunga kabambe kilichoitwa reming novemba 30, 2006, mwembe uliokoa maisha ya watu watano huko padang, mjini lagazpi (mkoa wa bicol katika kisiwa cha luzon).
during the onslaught of supertyphoon reming on november 30, 2006, a mango tree saved 5 lives in padang, legazpi city (bicol region in luzon island).
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mike gilgio mwandishi wa daily beast anaandika kuwa wakati si jambo lisilo la kawaida kwa wanawake kubugudhiwa kijinsia wakati wa maandamano ya umma nchini misri, katika maandamano haya wanaume walionyesha mwenendo wenye heshima zaidi kwa wanawake katika kile kilichoitwa maandamano yenye udhu - ambayo kwayo dhana ya maandamano ya umoja dhidi ya dola yana umuhimu zaidi ya mikwaruzano ya kijinsia.
daily beast journalist mike gilgio writes that while it is not uncommon for women to be sexually harassed during public demonstrations in egypt, this time around men were behaving in a more respectful manner towards women in what has been dubbed the purity protests - where the idea of rallying around a unifying struggle against the state is more important than gender-based conflicts.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: