İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
serikali imefanya jambo la kipumbavu kabisa.
this is the stupidest thing the government has done.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi.
but foolish and unlearned questions avoid, knowing that they do gender strifes.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
jiepushe na majadiliano ya kidunia na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na mungu.
but shun profane and vain babblings: for they will increase unto more ungodliness.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
(unicef) inalaani vurugu ambayo ilisababisha maafa haya na vifo vya kipumbavu na majeraha kwa watoto.
(the unicef) condemns the violence that resulted in these tragic and senseless deaths and injuries to children.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini jiepushe na ubishi wa kipumbavu, ugomvi na mabishano juu ya sheria. mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.
but avoid foolish questions, and genealogies, and contentions, and strivings about the law; for they are unprofitable and vain.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.
but they that will be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and hurtful lusts, which drown men in destruction and perdition.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: "elimu".
o timothy, keep that which is committed to thy trust, avoiding profane and vain babblings, and oppositions of science falsely so called:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor