Şunu aradınız:: kitengo cha utiririshaji (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kitengo cha utiririshaji

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

kitengo cha ukuta

İngilizce

television

Son Güncelleme: 2020-01-12
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kitengo cha wasio ona

İngilizce

what is your vehicle registration number?

Son Güncelleme: 2020-02-22
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kitengo cha elimu anuai

İngilizce

the level of education

Son Güncelleme: 2022-10-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

alihamishwa kwenye kwenye kitengo cha mahojiano namba 248 na hakuruhusiwa kuonana na watu kwa miezi tisa.

İngilizce

he was then transferred to the interrogation division branch 248 and detained incommunicado for nine months.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

yin hong (@尹鸿), mkuu wa kitengo cha uanahabari na mawasiliano cha tsinghua alitoa maoni yake:

İngilizce

yin hong (@尹鸿), executive dean of the tsinghua school of journalism and communication, commented :

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mwingine akasema kwamba hii imefanywa na kitengo cha usalama wa taifa ili kuwaonesha raia hatari za kushirikiana na wapinzani wa serikali.

İngilizce

other suggest that it was made up by the national security services to show people the dangers of supporting the opposition movement.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

makumi ya waandamanaji walikuwa wakisubiri katika kitengo cha polisi cha budapest hadi saa nane usiku wa alhamisi wakisubiri kuachiwa kwa wenzao.

İngilizce

dozens of protesters waited at a budapest police department for their release until 2 am on thursday.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

agathe demarais kutoka kitengo cha economist intelligence ametabiri kwamba soko zitasalia kutokuwa thabiti hadi picha wazi zaidi iibuke kuhusu matokeo yanayowezekana.

İngilizce

agathe demarais of the economist intelligence unit has forecast that markets will remain volatile until a clearer image emerges on potential outcomes.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

shukrani kwa kazi yake, félix alipokea tuzo la uandishi wa habari la gabriel garcía marquez mwaka huu katika uandishi wa habari kitengo cha picha.

İngilizce

thanks to his work, félix received the gabriel garcía marquez prize for journalism this year in the journalistic image category.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

je, matibabu hayo huathiri hitaji la watu wenye nimonia ya covid-19 kuongezwa hewa au kusalia katika kitengo cha huduma maalum?

İngilizce

do the treatments affect the need for people with covid-19-induced pneumonia to be ventilated or maintained in intensive care?

Son Güncelleme: 2024-04-13
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

cyprien fabre, kiongozi wa kitengo cha eneo maalumu wa tume ya ulaya ya misaada ya kibinadamu (echo) anatoa tathmini ifuatayo :

İngilizce

cyprien fabre, head of the regional bureau of the european commission humanitarian aid (echo) offers the following assessment :

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

washindani wengine ni aliyekuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia rushwa nuhu ribadu na gavana wa jimbo la kano ibrahim shekarau, kadhalika wagombea wengine 16 kutoka katika vyama vidogo vidogo.

İngilizce

other challengers are former anti-corruption chief nuhu ribadu and kano state governor ibrahim shekarau, as well as 16 candidates from smaller parties.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

akizungumzia mauaji ya hivi karibuni, mkuu wa kitengo cha shirika la new york times pakistan, ndugu declan walsh (@declanwalsh) alitwiti:

İngilizce

reacting to the recent killing, new york times pakistan bureau chief declan walsh (@declanwalsh) tweeted:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

leo, kitengo cha utetezi cha global voices, kinazindua tovuti mpya inayoitwa threatened voices, yaani, sauti zinazotishwa ili kusaidia kufuatilia unyamazishaji wa uhuru wa kujieleza wa mtandaoni.

İngilizce

today, global voices advocacy is launching a new website called threatened voices to help track suppression of free speech online.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

katika toleo hili la mazungumzo ya gv, tunazungumza na mwanablogu wa kiethiopia na mwanachama wa zone 9 endalk, sambamba na deji olukotun wa shirika la pen american freedom to write na mhariri wa kitengo cha utetezi cha gv kiitwacho advox ellery biddle kuhusu umuhimu wa keshi hii.

İngilizce

in this edition of gv face, we talk with ethiopian blogger and zone 9 member endalk, along with pen america freedom to write fellow deji olukotun and advox editor ellery biddle about this important case.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mwandishi shupavu wa habari za uchunguzi wa kutoka tvi konstyantyn usov hivi karibuni alifaulu kuingiza kwa siri simu kadhaa za mkononi kwenye gereza linalosifika kwa ukatili la lukyaniv, ambapo kuna kitengo cha uchunguzi maalumu, mahali ambapo alitiwa kizuizini, na ambapo bado anaendelea kushikiliwa.

İngilizce

the brave investigative journalist konstyantyn usov from tvi recently managed to smuggle several mobile phones into the notorious lukyaniv investigative isolation unit where was detained, and where is still being held.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

tofauti ya 30% kati ya sars-cov-2 na sars-cov kwenye kitengo cha s1 cha protini ya s huashiria kwamba uwezo wa protini ya s kuunganishwa na ace2 ya binadamu huenda umebadilisha.

İngilizce

a 30% difference between sars-cov-2 and sars-cov in the s1 unit of the s protein implicates that the binding affinity of its s protein with human ace2 might have altered.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mwanablogu wa ki-dominika, jose sille, anaeleza, pia kupitia twita, kwamba cesfront, kitengo cha kulinda mpaka wa dominika, kimeanza kukabiliana na mmiminiko wa raia wa haiti wanaojaribu kuikimbia nchi yao.

İngilizce

dominican blogger jose sille’ claims, also via twitter, that cesfront, the dominican border patrol, is beginning to encounter haitians desperate to flee the country.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

“nikiwa icu, uamuzi ulitolewa na hospitali kwamba nianzishe kitengo cha maumivu na tiba hivyo nikateuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya watumishi ambao watakuja na kitengo hicho. baada ya vifaa vyote kukamilika, niliwekwa kwenye kitengo cha maumivu na palliative care kama msimamizi mnamo machi 2007. niliwekwa pamoja na muuguzi mwingine na daktari na kupewa chumba ambacho tungeona wagonjwa wetu ambao wakati huo. hawakuwa wengi, idadi ya wagonjwa ilipoongezeka, tulipewa mwingine

İngilizce

“while in icu, a decision was made by the hospital that i start the pain and palliative care unit . i was nominated to be a committee member of the staff that were going to come up with the unit. after all the logistics were done, i was posted to the pain and palliative care unit as the in charge in the year march 2007. i was deployed with another nurse and a doctor and given a room where we would see our patients who at the time were not many, as the patient number grew, we were given anothe

Son Güncelleme: 2021-12-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,792,216,698 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam