İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
wanafunzi hawazitumii tena, wakifurahia kulipia vyakula ghali bei iliyo mara mbili zaidi, kunywa na kujumuika na watu katika mtindo wa mikahawa.
students don’t frequent them anymore, preferring to pay at least twice as much to eat, drink and socialise in the stylish surrounds of the kafe.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tungetamani sana ungeweza kujumuika nasi pale, lakini kama hilo haliwezekani, waweza pia ukatutazama moja kwa moja kupitia mtandao wa intaneti na pia tukaweza kujadiliana papo kwa hapo.
we wish you could be with us there in person, but if you can't you can still watch the livestream and chat with the us live.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na hao watu wa mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. watasema: kujumuika kwenu hakukufaini kitu, wala hicho mlicho kuwa mnafanyia kiburi.
and the companions of the elevations will call to men [within hell] whom they recognize by their mark, saying, "of no avail to you was your gathering and [the fact] that you were arrogant."
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
federico, ambaye ni wa kabila la mandaya (jamii ya wazawa wa lumad kutoka mashariki ya mindanao), anawahamashisha wasanii wachanga kuongeza maaarifa yao kuhusu utamaduni wa ufilipino kwa kujumuika na jamii za wazawa.
federico, who is a mandaya (lumad indigenous people from the eastern part of mindanao), encourages younger artists to enrich their knowledge of philippine culture by integrating with ethnic communities.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: