Şunu aradınız:: kunyanyaswa (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kunyanyaswa

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

wengi walipigwa na kunyanyaswa kijinsia.

İngilizce

many were beaten and sexually harrassed.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hakutoroka kifo ili aje afe kwa sababu ya kunyanyaswa

İngilizce

he didn't escape death to die of humiliation

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tafadhali fahamu: bado wapo wananchi wengi wanaopinga mapinduzi ya kijeshi wanaokataa kunyanyaswa na jeshi

İngilizce

please know : there are still many anti-coup thais who refuse to be oppressed by the military

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wanadhani "walikandamizwa, kutukanwa na kunyanyaswa" katika mkutano wao wa mwisho na serikali.

İngilizce

they consider that they were "humiliated, insulted and disdained" in their last meeting with government.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

kwa hakika, wakati mtu mmoja alipoamua kuunyooshea kidole msafara wa rais, mtu yule alikamatwa na kunyanyaswa na wenye mamlaka.

İngilizce

in fact, when someone dared finger the presidential convoy, this person was arrested and humiliated by the authorities.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

@kenyapolice: jeshi la polisi kenya haliungi mkono kunyanyaswa kwa wafanyakazi wa kenya na wanawalipa intani wao.

İngilizce

@kenyapolice: kenya police does not support the exploiation of kenyan workers. #payinterns

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hivyo kama umechukizwa au unasumbuliwa inaelekezwa kwa mwanamke unayemjali, jinsi gani baadhi yenu mna ujasiri kuuliza swali kama mwanamke anahisi kunyanyaswa?

İngilizce

so if it offends or bothers you went it is directed at a woman you care about, how can some of you actually have the nerve to question whether the woman feels harassed?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

miezi michache iliyopita, mara baada ya koaci.com kuweka bayana kuwa kundi moja la wanawake wa kiafrika kunyanyaswa walifanikiwa kurudishwa nchini mwao salama kutoka lebanon.

İngilizce

a few months ago, after a revelation by koaci.com that a group of african women were being tortured, they were successfully repatriated from lebanon.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hatua ya serikali ya irani kutoa huduma hizi kwa wakimbizi imekosolewa sana, hata hivyo, ripoti ya mwaka 2013 shirika la haki za binadamu iliyoonesha kwamba wakimbizi wa afghanistani walikuwa wakitendewa uonevu na wakati mwingine kunyanyaswa na wananchi wa irani na serikali.

İngilizce

iran's treatment of this demographic has been subject to past criticism, however, most notable in the 2013 human rights watch report that detailed the mistreatment and sometimes abuse afghans faced from both iranian society and the government.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

nchini hong kong, wanafunzi katika shule wanakiri kwamba wanafunzi mashoga wanazomewa na kunyanyaswa, kwa hiyo kuna shirika limeanzisha kampeni ya kukuza uelewa wa suala hili, wakijikita zaidi kwenye kuandaa video zenye mahojiano na wanafunzi wenye mihemuko tofauti ya kimapenzi pamoja na wataalamu katika mada zinazohusika.

İngilizce

in hong kong, students in schools admit that homosexual students are bullied and discriminated, so an organization has spearheaded a campaign to raise awareness on this issue, focusing on producing online videos of interviews with sexually diverse students and experts on the topic.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,793,535,334 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam