İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
ni mapema mno kuongelea kama wao watafanya kazi kama watumwa.
it was talked about as if they would work like slaves.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hatuwezi kuendelea kuongelea teknolojia ya mawasiliano ya kidijitali kuweza kumfikia kila mmoja, kama ofisi zinazohifadhi habari muhimu bado zinatumia mbinu za uhifadhi za mikono.
we cannot be talking of making ict accessible to everyone, if our important offices that hold crucial information are still using manual storage system.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
@pcayuqueo: n ni vigumu kuongelea chimbuko la jambo hili la mapuche wakati kinachochochea mijadala ni matukio ya muda mrefu ya polisi.
@pcayuqueo: it's hard to talk about the background of the mapuche issue when what triggers debates is police chronicles.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kamera nne za video na meza zake vimeachwa katika kituo hicho kwa ajili ya kuwaazima wanakijiji ili warekodi hadithi zao… madhumuni ya kituo hicho ni kuwapatia wanachama wa jumuiya ya katine jukwaa la kuongelea maisha yao – changamoto na fursa, mawazo yao kuhusu kazi inayofanywa na amref – na kuwapa njia ya kupata habari pamoja na utaalamu.
four flip video cameras and tripods have been left in the centre for villagers to borrow and tell their stories.... the aim of the centre is to give members of the katine community a global platform to talk about their lives – the challenges and opportunities, their thoughts on the work being carried out by amref - and to offer them access to information and expertise.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: