Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kupunguza
reduclas
Son Güncelleme: 2021-03-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kupunguza kasi sasa hakutadhuru baadaye.
slowing now won’t hurt later.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
#dershowitz anahitaji kupunguza kuangalia televisheni.
#dershowitz needs to watch less tv.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hatua gani zichukuliwe kupunguza hali hii ya kutokuwepo kwa usawa?
what measures can be taken to reduce these inequalities?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
maombi ya kupunguza kiasi cha kodi kutoka 15% hadi 11%
request for reduce rent amount from 15% to 11%
Son Güncelleme: 2021-11-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hivyo basi, tunapaswa kupunguza matarajio yetu - tusitarajie mengi sana.
it will be prudent not to expect too much.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
serikali zinaanzisha tafiti ili kuelewa hali hii na jinsi ya kupunguza athari.
governments initiate surveys to understand the phenomenon and how to mitigate the impacts.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
nchini zingine pia zimetekeleza hatua mbalimbali zinazolenga kupunguza kuenea kwa virusi.
other countries also adopted a variety of measures aimed at limiting the spread of the virus.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kusudi la vuguvugu hilo ni kupunguza ubaguzi wa kijinsia katika sekta ya kilimo.
the initiative aims to alleviate gender discrimination within the agricultural sector.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
jaribu kupunguza kufanya hivi, na ujaribu kunawa mikono yako kabla ya kugusa uso wako.
try to do this less, and try to wash your hands before touching your face.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
dawa zote zina mwingiliano mkubwa na dawa za kuagiza, zikiathiri dawa ya matibabu na kupunguza magonjwa.
both drugs have extensive interactions with prescription drugs, affecting the therapeutic dose and disease mitigation.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kitendo hiki rahisi kinaweza kupunguza kiwango cha vifo kutokana na magonjwa haya kwa karibu 50%.
this simple action can reduce the rate of mortality from these diseases by almost 50%.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kutumia dawa zinunuliwazo bila maagizo ya daktari, kunywa maji, na kupumzika huweza kusaidia kupunguza dalili.
taking over-the-counter cold medications, drinking fluids, and resting may help alleviate symptoms.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ikiwa kuna mashaka kuwa watu wanalengwa kutokana na rangi yao, ni muhimu kila kitu kifanywe ili kupunguza hatari kwa watu hao.
when there is a plausible prospect that people are being targeted because of their race, it is essential that all is done to reduce the risks to them.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hasa lucian na ndemla, waliongezea nguvu safu ya ushamuliaji ya simba na mapema iwezekanavyo ikawasaidia simba kuanza kupunguza magoli.
lucian and ndemla, in particular, injected some pace into simba's attacks and soon enough they had helped their team pull a goal back.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
akifuatilia posti yake kuhusu "ujinga wa kupunguza bajeti kwa chuo cha bahamas", blogworld anasema:
as a follow-up to her post about "the absurdity of cutting the budget for the college of the bahamas", blogworld says:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
cdc inaendelea kuunda na kusasisha rasilimali kwa ajili ya watu walio na hali sugu za afya ili kupunguza hatari ya kupata covid-19.
cdc continues to develop and update resources for persons with underlying health conditions to reduce the risk of acquiring covid-19.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
...vivyo hivyo kudanganywa na wale ambao agenda yao ni pamoja na kupotosha watu wetu kuamini kwamba serikali haikuwa makini vya kutosha kupunguza mateso ya waathirika.
...we are likewise cynical of those whose agenda includes misleading our people to believe that government is not sensitive enough to alleviate the suffering of the survivors.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
njia bora zaidi ya kuongeza kasi ya kupunguza umaskini katika dunia ya tatu ni kuongeza uhamiaji kelekea (nchi za) magharibi kwa kiwango kikubwa.
the best way to ameliorate third world poverty is by massively increasing migration to the west.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
2) ufaransa ilikuwa na wasiwasi kuwa jitihada za kujikinga zilizofanywa na watutsi zilifanyika uganda kwa kuratibiwa na nchi zizungumzazo kifaransa lengo likiwa ni kupunguza nguvu ya ufaransa kwenye eneo hilo.
2) france feared that the tutsi offensive was remotely piloted via uganda by anglophone countries and was intended to drive a wedge into the influence of france in the region.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: