Şunu aradınız:: kusafirishwa (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kusafirishwa

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

the van official alitwiti kuhusu kusafirishwa kwa wanyama hai nchini humo:

İngilizce

just one year!...we miss your integrity! the van official tweeted about animal smuggling in the country:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tanzania imepiga marufuku kusafirishwa nje kwa wanyama pori baada ya takribani wanyama na ndege 130, ikiwa ni pamoja na twiga kusafirishwa nje ya nchi wakiwa hai.

İngilizce

tanzania has banned wildlife exports after about 130 animals and birds, including giraffes, were smuggled out of the country.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

barakoa za uso za kimatibabu zinazuia matone ya majimaji kutoka wa mtu anayeweza kuwa ameambukizwa dhidi ya kusafirishwa hewani au kukwama kwenye sehemu za bidhaa, ambapo yanaweza kupitisha kwa watu wengine.

İngilizce

surgical face masks prevent liquid droplets from a potentially infected individual from traveling through the air or sticking onto surfaces of materials, where they could be passed on to others.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wakati huo huo mashahidi na wanaharakati wa haki za binadamu wanarekodi na kuweka kumbukumbu za ushahidi wa vijana hawa wanaowekwa katika magari ya kijeshi ya kenya na kusafirishwa kwa magari kwenda kwenye vyuo vya mafunzo ya kijeshi vya kenya.

İngilizce

meanwhile witnesses and human rights activists are recording and documenting evidence of these youngsters being put in kenyan military trucks and driven to kenyan military training bases.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wavuvi wa uganda wakiopoa miili kutoka ziwa victoria baada ya kusafirishwa mamia ya maili kutoka rwanda (picha na dave blumenkrantz, una ruhusa ya kutumia chini ya utaratibu wa leseni za ubunifu wa pamoja)

İngilizce

ugandan fishermen pulling bodies out of lake victoria that had traveled hundreds of miles by river from rwanda (photo by dave blumenkrantz, used under a creative commons license)

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

aliaminika kama “mmoja wa wapiganaji gorila mwenye uchu wa damu" ,kulikuwa na hati 62 za kuamrisha kukamatwa kwake, aliwahi kuhukumiwa mara 5, na marekani ilikwishaomba kukamatwa na kusafirishwa kwa mtu huyo kwenda marekani kujibu tuhuma zinazohusiana na usafirishaji madawa ya kulevya, na iliahidi kutoa zawadi kwa kukamatwa kwake.

İngilizce

regarded as "one of the most blood-thirsty" guerrillas , he had 62 arrest warrants against him, had been sentenced 5 times, and the united states had asked for his extradition for drug-trafficking related charges, offering a reward for his capture.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,747,828,910 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam