İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
amedhoofika kweli huyo mwenye kutaka na mwenye kutakiwa.
both are indeed weak, the seeker and the sought.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na nzi akiwapokonya kitu hawawezi kukipata kwake. amedhoofika kweli huyo mwenye kutaka na mwenye kutakiwa.
how weak the seeker and how weak the sought!
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwezi mei 2010, malema alilazimishwa kutoa tamko la kulitaka radhi taifa na kutakiwa kuhudhuria darasa la namna ya kudhiti hasira zake.
in may 2010, malema was forced into making an apology to the nation and attend anger management classes.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hali ilifikia hapo mara baada ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani freeman mbowe, kukataa kukaa hata baada ya kutakiwa kufanya hivyo na ndugai.
things came to a head after freeman mbowe, the leader of the opposition in parliament, refused to sit down after being asked to do so by ndugai.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kutoka chile zilikuja ripoti za watu kutakiwa kuhama makazi kwenye maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa tsunami:
from chile came reports of evacuation from cities along the northern coast in anticipation of a possible tsunami:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wizara ya mambo ya ndani ya bahrain imetangaza kumkamata mtumiaji mwingine tena wa mtandao, anayedaiwa kutakiwa kujibu mashitaka ya "kuchochea chuki dhidi ya utawala."
the bahrain ministry of interior announced the arrest of yet another netizen, who reportedly faces accusations of "inciting hatred against the regime."
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
mwezi julai, mahakama ya makosa ya jinai ilimuhukumu mwajiri mmoja kifungo cha miezi sita gerezani, kutozwa fidia, na kutakiwa kulipa fidia ya uharibifu pamoja na kulipa mishahara ya mfanya kazi wake wa ndani ambaye hakuwa amemlipa kwa miaka kadhaa.
in july, a criminal court sentenced an employer to two months in prison, imposed a fine, and required her to pay damages and compensation to a migrant domestic worker whose wages she had not paid for years.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
- jenerali laurent nkunda na chama chake cha taifa kwa ajili ya kulinda watu au congres national pour la defense du peuple (cndp) anadai kupigana kwa ajili ya kuwalinda wananchi wa kongo wa kabila la watusi dhidi ya wageni wasioalikwa na wala kutakiwa nchini humo,
-general laurent nkunda and his congres national pour la defense du peuple (cndp) claim to fight for the protection of the congolese tutsi population from the drc's most uninvited and unwelcome guests,
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: