İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
maafisa wa afya thailand wanahimiza watu kutengeneza barakoa kwa kutumia vitambaa nyumbani na kuviosha kila siku.
thailand's health officials are encouraging people to make cloth facemasks at home and wash them daily.
baadae, maafisa wawili wa polisi walimburuta barabarani kwa sekunde 30 na kumtupia kwenye gari la polisi.
later, two police officers dragged him along the road for 30 seconds and threw him into a police detention van.
angalau wanasiasa 12 na maafisa wa serikali wanaohudumu au wa zamani walishakufa kutoka na ungonjwa huu kufikia mwezi tarehe 17 machi.
at least 12 sitting or former iranian politicians and government officials had died from the disease by 17 march.
baadhi ya wanasiasa na maafisa wa ngazi za juu wameripotiwa kuwekwa kizuizini mjini bamako, makao makuu ya nchini hiyo.
some politicians and high-ranking officers have reportedly been arrested in bamako, the capital city.
baada ya kufahamu kuhusu ripoti hii, seneta chiz escudero alikosoa maafisa wa serikali kwa kushindwa kuelewa uzito wa hali:
after learning about this report, senator chiz escudero berated local officials for failing to understand the gravity of the situation:
caballero anasema kwamba ‘maafisa hao walipandwa na ghadhabu na kumwambia esteban kwamba alikuwa anatenda kosa la jinai’.
caballero says that 'the agents were infuriated and told esteban that he was committing a crime'.
baadhi ya maafisa wa marekani na watoa maoni walisuta hatua ya marekani ya kutegemea ununuzi wa bidhaa muhimu, ikiwa ni pamoja na bidhaa muhimu za kimatibabu kutoka china.
some u.s. officials and commentators criticized the u.s. reliance on importation of critical materials, including essential medical supplies, from china.
juma lililopita, kwa kuongezeka kwa uwezekano wa vita ya marekani na israel dhidi ya iran, maafisa wawili wa juu wa hamas walitangaza kwamba hamasi haitajihusisha na itaiunga mkono iran ikitokea israel itashambulia.
last week, in light of increasing prospects of an american-israeli war on iran, two top hamas officials announced that hamas would not get involved and support iran in case of an israeli attack.
mbali na kukuza uelewa wa jamii, muungano huo utawsilisha saini zilizokusanywa kutokana na tamko la mtandaoni kwa serikali ya hong kong na umeandaa mkutano na idara ya kilimo, uvuvi na hifadhi kujadili tamko lao la kuteketezwa kwa shehena ya pembe za ndovu zilzokamatwa.
apart from raising public awareness, the coalition will submit the signatures collected from the online petition to the hong kong government and hasarranged a meeting with the agriculture, fisheries and conservation department to discuss their petition to destroy the stockpiles of confiscated ivory.
baada ya kuongea na maafisa wote 34 wa polisi walioshiriki kwenye zoezi hilo la kipolisi, hatuwezi kuthibitisha kwamba wote waliotajwa kwenye malalamiko walihusika kwenye tukio hilo, au walinyang'anywa na kufutiwa picha na video zao.
after speaking with all 34 officers who participated in the police activity, we can’t determinate that anyone was involved in the event as it is specified in the petition, or confiscated and deleted recorded photo and video material.
kwa mujibu wa picha iliyochapishwa na josé meza (@josegremeza), jijini maracaibo wanafunzi walikuwa wakidai mazungumzo na maafisa wa polisi waliowasili katika viwanja hivyo kwa mijanajili ya kuandamana:
according to an image published by josé meza (@josegremeza), in maracaibo students were demanding a dialogue with police officers who arrived at the square where they were protesting: