İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
mabango ya matangazo
Son Güncelleme: 2024-01-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa kupitia michakato hiyo, wagombea wamekuwa zaidi ya majina na picha kwenye mabango ya kampeni.
through these processes, the candidates became more than just names and faces on campaign posters.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
soto alizaliwa huko ciudad bolivar, venezuela, ambako alianza kufanya kazi kama mchoraji wa mabango ya sinema.
soto was born in ciudad bolívar, venezuela, where he began working as a painter of cinema posters.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mtandao wa twita umefungiwa leo nchini uturuki, jamaa wanatengeneza huduma ya dsn ya google kwenye mabango ya chama tawala
#twitter blocked in #turkey tonight. folks are painting #google dns numbers onto the posters of the governing party. pic.twitter.com/9vq7ntgoto — engin onder (@enginonder) march 21, 2014
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
haitoshi kubandika mabango ya ernesto che kwenye kuta zake ukadhania kutafakari ama kuelewa kile kinachostahili kufanywa ili kuachana na yote ili kuwa na siku njema.
it's not enough to brandish posters of ernesto che on our walls to pretend to imagine or understand what it takes to lay down absolutely everything for a better day.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
walipamba uzio uliowekwa na polisi kwa utepe wenye maneno ya kupinga nguvu za nyuklia, wakaweka mabango ya kisiasa, maua na vitu vingine na hivyo kugeuza miiba iliyokuwa imewekwa na polisi kuwa kama maonyesho ya kazi ya sanaa.
they decorated the fences with anti-nuclear ribbons, political banners, flowers and other items, turning the barricades into what some have dubbed a contemporary street art exhibition.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
katika kuadhimisha mwaka mmoja baada ya kufungwa kiuonevu kwa alaa, marafiki na watetezi wake walibadili picha zao za wasifu kwenye mitandao ya kijamii na kuweka mabango ya 'alaa aachiwe huru'
friends and supporters changed their avatars on social media to this free alaa poster today to protest the first anniversary of his unfair imprisonment
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: