İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kama utafika mahali hapa, tafadhali, usiwe na haraka.
and, if you should come upon this spot, please do not hurry on.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini mimi nitalihukumu taifa hilo litakalowafanya watumwa. kisha nitawatoa katika nchi hiyo ili waje kuniabudu mahali hapa.
and the nation to whom they shall be in bondage will i judge, said god: and after that shall they come forth, and serve me in this place.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa maana tulikwisha msikia akisema eti huyo yesu wa nazareti atapaharibu kabisa mahali hapa na kufutilia mbali desturi zile tulizopokea kutoka kwa mose."
for we have heard him say, that this jesus of nazareth shall destroy this place, and shall change the customs which moses delivered us.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
walileta barazani mashahidi wa uongo ambao walisema, "mtu huyu haachi kamwe kusema maneno ya kupakashifu mahali hapa patakatifu na sheria ya mose.
and set up false witnesses, which said, this man ceaseth not to speak blasphemous words against this holy place, and the law:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
klabu ya mchezo wa rugbi ya kampala ni baa iliyo na eneo kubwa la wazi, iko pembezoni mwa kiwanja, mahali hapa wanapenda sana kuja wanafunzi wa vyuo ambao huja hapo kurandaranda na marafiki zao.
kampala's rugby club is a sprawling bar, adjacent to the pitch, where many of kampala's college students come to hang with their buddies.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
walipokuwa bado wanaendelea na safari walifika mahali penye maji na huyo ofisa akasema, "mahali hapa pana maji; je, kuna chochote cha kunizuia nisibatizwe?"
and as they went on their way, they came unto a certain water: and the eunuch said, see, here is water; what doth hinder me to be baptized?
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, "mahali hapa ni nyikani, na saa zimepita. basi, uwaage watu ili waende vijijini wakajinunulie chakula."
and when it was evening, his disciples came to him, saying, this is a desert place, and the time is now past; send the multitude away, that they may go into the villages, and buy themselves victuals.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
wakipiga kelele: "wananchi wa israeli, msaada, msaada! huyu ndiye yule mtu anayewafundisha watu kila mahali mambo yanayopinga watu wa israeli, yanayopinga sheria ya mose na mahali hapa patakatifu. hata sasa amewaingiza watu wa mataifa mengine hekaluni na kupatia najisi mahali hapa patakatifu."
crying out, men of israel, help: this is the man, that teacheth all men every where against the people, and the law, and this place: and further brought greeks also into the temple, and hath polluted this holy place.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.