İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
malipo ya jumla
life annunity contract
Son Güncelleme: 2022-06-22
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
andika majibu ya salamu zifuatazo
write down the answers to the following greetings
Son Güncelleme: 2021-12-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hizo track kwa bei ya jumla shingapi
nahitaji hizo track suit za watoto bei gani
Son Güncelleme: 2023-05-23
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
makadirio ya jumla ya mapato kwa muda uliotengwa
Son Güncelleme: 2021-04-13
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
wai lin oo alionesha kusikitishwa kwake na majibu ya ubalozi:
wai lin oo expressed his frustration with the embassy's response:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
wakati huohuo, wanajamii wanasubiria majadiliano pamoja na majibu ya kero zao.
in the meantime, the communities are waiting for dialogue and responses.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
maoni kwenye majibu ya posti hiyo na mtu aliyeitwa prince, yanasema:
a comment in response to this post by someone named prince, said:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
utafutaji wa kazi na fursa za ajira inaweza kuwa sehemu ya majibu ya hali hii.
the search for jobs and employment opportunities may explain at least parts of this puzzle.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kibali ya jumla cha usimamizi wa hali ya hatari imegawanyika kufuatia ufuasi wa vyama.
overall approval of trump's management of the crisis has been polarized along partisan lines.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kuna vifaa vya kielektroniki vinavyotumika kutoa majibu ya kuwakumbusha wafanyakazi wa hospitalini kuosha mikono yao wanaposahau.
there are electronic devices that provide feedback to remind hospital staff to wash their hands when they forget.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ghana pundit hivi karibuni aliweka makala kuhusu majibu ya rais rawlings kwa mjadala uliopo hivi sasa:
ghana pundit recently posted an article about president rawlings’ response to the current debate:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
jitokezeni wafanyakazi mlio na mwajiri zaidi ya mmoja, twendeni wizara ya kazi na sera za jamii ili tupate majibu ya maswali yetu.
come on freelancers, let's go to the ministry of labor and social policy and demand the answers they owe us.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
asili ya kutegemea usajili ya tiba ya msingi ya uingereza inamaanisha kwamba tutaweza kuunda taswira kamili ya matukio ya jumla ya vipindi vyake.
the registration-based nature of uk primary care means that we will be able to create a complete picture of the cumulative incidence and duration.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
vipimo vya fbc ni mojawapo ya vipimo vya kawaida vinavyofanywa na tunatumai kwamba hii itatupa makadirio ya ishara ya jumla ya idadi ya vipimo vya damu vinavyofanywa.
an fbc is one of the most common tests performed, and we hope this will give an approximate indication of overall numbers of blood tests performed.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
bila kufahamu majibu ya maswali ya #1 na 2, hatuwezi kukatisha usambazaji kwa ufanisi na mkurupuko huu unaweza kutokea tena wakati wowote.
without knowing answers to #1 and 2, we cannot efficiently cut the transmission, and the outbreak can relapse at any time.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
maoni ya jumla kutoka jamii za duniani yanaonekana kuonyesha huzuni kwa usumbufu lakini faraja kwa uwazi na uwezo wa kulenga jamii zao wenyewe, wikimedia na vinginevyo.
the general sentiment from around the global community seems to be both sadness at the disruption but relief at the clarity and ability to focus on their own communities, wikimedia and otherwise.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
jinsi ninatamani kukujua katika hali halisi?🍃😊 sasa sasa baada ya kusema kwamba utaniambia nikuulize maswali kadhaa juu yako🤣🤣🤭 na kama kila wahati sina majibu ya kuuliza
i long to see you
Son Güncelleme: 2020-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
matumizi ya vizuizi vya ace pia yalijumuishwa na kupungua kwa vifo vinavyohusiana na nimonia, ingawa matokeo yalikuwa dhaifu kuliko hatari ya jumla ya nimonia."
use of ace inhibitors was also associated with a reduction in pneumonia related mortality, although the results were less robust than for overall risk of pneumonia."
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
kbs inalenga zaidi juu ya majibu ya rais kuliko waathirika na taarifa juu ya ujumbe wa kuwaokoa (kupitia mwanabloglu kwenye mtandao kupitia alama ashiria "mimi ni peter")
kbs focuses more on the president's reaction than the survivors and updates on the rescue mission (by blogger with the online handle of "i am peter")
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
baada ya kuosha na kukausha mikono kwa kutumia kikausha mikono kwa hewa vuguvugu, idadi ya jumla ya bakteria ilipatikana kuongezeka kwa wastani kwenye vidole kwa 194% kiganjani kwa 254%.
after washing and drying hands with the warm-air dryer, the total number of bacteria was found to increase on average on the finger pads by 194% and on the palms by 254%.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: