Şunu aradınız:: majina na bibi (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

majina na bibi

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

na bibi wangu mpole

İngilizce

and my gentle mistress

Son Güncelleme: 2022-03-22
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa kupitia michakato hiyo, wagombea wamekuwa zaidi ya majina na picha kwenye mabango ya kampeni.

İngilizce

through these processes, the candidates became more than just names and faces on campaign posters.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

babu na bibi yangu wamewajibika kunitunza wakati ninakua na nitakapomaliza masomo, niwanunulia zawadi kila mmoja.

İngilizce

my grandparents have been responsible for my entire upbringing and when i finish my education, i will buy them each a present.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

katika kujaribu kufanya tofauti, wananchi wa kenya mtandaoni wamefanya jitihada kubwa za kutangaza majina na sura za marehemu waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio hilo.

İngilizce

in response, kenyans online have made efforts to give names and faces to the victims of the barbaric violence.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hata shangazi zangu na bibi yangu hawakutaka kuwasiliana nami tena kwa kuwa waliogopa sana kuwa kama serikali ingegundua kuwa walikuwa wanawasiliana nami, wangewadhuru.

İngilizce

even my aunts and my grandma didn’t call me because they were so afraid that if the government found out they were in touch with me, they would harm them.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa arusi ya mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari.

İngilizce

let us be glad and rejoice, and give honour to him: for the marriage of the lamb is come, and his wife hath made herself ready.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

@mansoor_aljamri: tunatumaini kwamba wizara ya mambo ya ndani itatangaza katika mkutano wa vyombo vya habari majina na uraia wa wale waliouawa na kujeruhiwa.

İngilizce

@mansoor_aljamri: we hope the ministry of interior announces in its press conference the names and nationalities of those killed and injured.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

tulilazimika kuondoa mapambo yote tuliyopamba na ilikuwa ya kusikitisha sana kwa sababu tulitarajia babu na bibi zetu kuja kila mtu alikuwa na huzuni kweli na ilikuwa ndio ndio kwani tuliwaona kitu pekee ninachotamani kuonyesha sasa ni kuwaona.

İngilizce

we had to remove all the decorations we had decorated and it was very sad because we expected our grandparents to come everyone was really sad and it was oh yeah since we saw them the only thing i wish show now is to see them

Son Güncelleme: 2021-08-19
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hali hii haisababishwi na siasa, kwa sasa inasababishwa na binadamu…haya ni mapinduzi kwa ajili yetu, kwa ajili ya watoto wetu, kwa ajili ya babu na bibi zetu.

İngilizce

it’s not a political cause, it’s now a human cause…this is a revolution for us, for our children, for our grandchildren.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mwanga wa taa hautaonekana tena ndani yako; sauti za bwana arusi na bibi arusi hazitasikika tena ndani yako. wafanyabiashara wako walikuwa wakuu duniani, na kwa uchawi wako mataifa yote yalipotoshwa!"

İngilizce

and the light of a candle shall shine no more at all in thee; and the voice of the bridegroom and of the bride shall be heard no more at all in thee: for thy merchants were the great men of the earth; for by thy sorceries were all nations deceived.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

tukio hili limegusa hisia baada ya maandamano ya usawa kitaifa mwishoni mwa wiki ambapo nilifanya mahojiano mafupi na wanandoa wa rangi tofauti, bwana na bibi newman (pichani) kuhusu kwa nini wanaandamana.

İngilizce

this particular instance hits home after this weekends national equality march wherein i briefly interviewed an straight, interracial couple, the newmans (pictured) about why they are marching.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hala anamtafuta mtu wa kumwambia, "karibu kwenye nchi yako", na anamtafuta mtu wa kumsaidia kupata kukumbatiwa kwa upendo mkubwa na bibi yake, ambaye hupokea kila picha au kipande cha picha ya video inayomwonyesha binti huyu mdogo kwa shauku kubwa kupindukia.

İngilizce

hala is searching for someone to say, "welcome to your country", and is searching for someone to put her in reach of the affectionate embrace of her grandmother, who adores any picture of her or any video clip in which she appears.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,781,880,994 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam