İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani.
and as they cried out, and cast off their clothes, and threw dust into the air,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake saulo.
and cast him out of the city, and stoned him: and the witnesses laid down their clothes at a young man's feet, whose name was saul.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na kwamba wakati shahidi wako stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.
and when the blood of thy martyr stephen was shed, i also was standing by, and consenting unto his death, and kept the raiment of them that slew him.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wao hufanya matendo yao yote ili watu wawaone. huvaa tepe zenye maandishi ya sheria juu ya panda la uso na mikononi na hupanua pindo za makoti yao.
but all their works they do for to be seen of men: they make broad their phylacteries, and enlarge the borders of their garments,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
basi, petro akaenda pamoja nao. alipofika alipelekwa ghorofani katika kile chumba. huko wajane wengi walimzunguka petro wakilia na kumwonyesha makoti na nguo ambazo dorka alikuwa akitengeneza wakati alipokuwa hai.
then peter arose and went with them. when he was come, they brought him into the upper chamber: and all the widows stood by him weeping, and shewing the coats and garments which dorcas made, while she was with them.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
badala ya kutoroka eneo hilo, watu wengi wanatawanyika na kurudi eneo hilo wakiwa na vifaa bora zaidi, kama vile makoti ya mvua, vifaa vya kujikinga na moshi wa mabomu na miwani ya kukinga macho:
instead of escaping from the scene, many people dispersed and returned with better equipment, such as raincoats, gas masks and goggles:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: