Şunu aradınız:: mbinu na adhma ya kupambana (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

mbinu na adhma ya kupambana

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

kama unataka kuwa na nguvu jifunze jinsi ya kupambana peke yako

İngilizce

i never lie because i don’t fear anyone you only lie when you are afraid

Son Güncelleme: 2023-09-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kiwango cha uharibifu wa miundo mbinu na historia ya yemeni bado hakijajulikana.

İngilizce

the size of the destruction of yemeni infrastructure and history is still unaccounted for.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

maeneo hayo yamekuwa kwa haraka ni mbinu na ujanja wa kujilinda.

İngilizce

the latter are fast becoming strategical and tactical points:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mpango huu unajumuisha maeneo na hatua zinazohitajika kwa ajili ya kupambana na magonjwa yanayoenezwa na virusi kama vile ebola.

İngilizce

this plan incorporates the scenarios and steps required to tackle epidemics of viral hemorrhagic fevers such as the viral disease ebola.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wanablogu hawa waliwekwa kizuizini april, 2014 na kisha kushtakiwa chini ya sheria ya nchini ethiopia ya kupambana na ugaidi.

İngilizce

the bloggers were arrested in april of 2014 and prosecuted under ethiopia's anti-terrorism act.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

katuni ya zunar: sheria ya kupambana na ugaidi haina ubinadamu ndani yake!

İngilizce

cartoon zunar: poca is inhuman! pic.twitter.com/i9ziejsbzy — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 8, 2015

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tlalnepantla anashiriki mafunzo makubwa ya kupambana na matukio ya tetemeko la ardhi yaliyoongzwa na na serikali ya mexico.

İngilizce

tlalnepantla joins the megaearthquake driill organized in the state of mexico.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

remdesivir ni dawa ya mpya ya kupambana na virusi inayoundwa na gilead hapo awali kwa matibabu ya ugonjwa uliosababishwa na ebola na virusi vya marlburg.

İngilizce

remdesivir is a novel antiviral drug developed by gilead initially for the treatment of diseases caused by ebola and marlburg viruses.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

pamoja na kuwa hakuna nyenzo za kuweza kuonesha picha hizo zinapatikana wapi wala idadi ya wahanga, zifuatazo ni baadhi ya picha chache zinazoonesha namna miundo mbinu na makazi ya watu yalivyo athiriwa.

İngilizce

although there is no liable resources to confirm the locations of the photographs nor the number of victims, the next few pictures are just a sample to consider of how syria's infrastructure and residential areas have been affected.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

nyaraka zilizofichuliwa na edward snowden zinaonyesha kwamba wametekeleza na hata kuhujumu teknolojia ya mtandao kwa upelelezi wa ngazi za kimataifa, si kwa minajili ya kupambana na ugaidi kama kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa upelelezi wa kibiashara.

İngilizce

the documents revealed by edward snowden indicate that they have implemented and even subverted internet technologies for spying on a global scale, not so much for the anti-terrorism fight as for commercial espionage.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

badala ya kupambana na ukosefu wa ajira sisi tunapambana na mfumuko wa bei ubaki kuwa tarakimu moja; wakati huo huo wananchi wanaoishi kwenye mabwawa ya lukanga wanaishi kwa nge.

İngilizce

instead of fighting unemployment we are focusing on single-digit inflation; meanwhile citizens in the lukanga swamps are surviving on scorpions.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

anadia niger ina malengo ya kuendeleza mbinu na zana za kutathmini hatari ya mafuriko, kutegemeza mipango kwenye viwango tofauti vya uamuzi, kuzidisha ujasiri wa jamii, na kuendeleza uwezo mkubwa zaidi wa kutabiri na kuitikia.

İngilizce

anadia niger aims to develop methodologies and tools to assess flood risk, to support planning at different decision making levels, to increase the resilience of local communities and to develop a greater capacity for forecasting and response.

Son Güncelleme: 2023-11-14
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa mujibu wa kamati ya kulinda waandishi (cpj), serikali ya ethiopia imehukumu waandishi na wanablogu huru wapatao 11 ikiwa ni pamoja na reeyot na eskinder nega chini ya sheria ya kupambana na ugaidi tagu mwaka 2011.

İngilizce

according to the committee to protect journalists (cpj), the ethiopian government has convicted 11 independent journalists and bloggers including reeyot and eskinder nega under a sweeping anti-terrorism law since 2011.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la bangkok, shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

İngilizce

after a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in bangkok, the united nations children’s fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa nyongeza, walibainisha kuwa, kutokuwepo kwa mpango mkakati wa muda mrefu wa namna ya kupambana na ugaidi nchini kenya unaweza kueleza sababu ya kuendelea kwa nguvu ya al-shabaab:

İngilizce

additionally, they pointed out, a lack of a long-term strategic plan on how to combat terrorism by kenya may explain al-shabaab's continued potency:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

afisa wa hospitali aliliambia shirika la anadolu, shirika la habari la ndani kwamba mmoja wa waliopoteza maisha yao alikuwa jalal saifur rahman, mkurugenzi katika tume ya kupambana na ufisadi nchini bengani, ambaye alitibiwa katika hospitali ya kuwait maitree.

İngilizce

a hospital official told anadolu agency, a local news outlet, that one of the deceased was jalal saifur rahman, a director of bengali anti-corruption commission, who was cared for at the kuwait maitree hospital.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

miaka minne baadae, mara baada ya tume ya kupambana na rushwa ya tanzania ‘kushindwa’ kuweka bayana makosa aliyotuhumiwa nayo mh. chenge, mkurugenzi wa mashitaka alifutilia mbali mashitaka hayo.

İngilizce

four years later, after tanzania's prevention and combating of corruption bureau 'failed' to discover evidence of wrongdoing, the director of public prosecution dropped the charges.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

askari arobaini na wanne wa jeshi la polisi la ufilipino - kikosi maalum (pnp-saf) waliuawa kwenye operesheni ya kupambana na ugaidi mapambano yaliyochukua masaa 11 kati ya vikosi vya serikali na waasi wa moro wanaotaka kujitenga na wanaofanya shughuli zao kwenye eneo la mamasapano.

İngilizce

forty-four members of the philippine national police-special action force (pnp-saf) were killed in a botched-up counter-terror operation which became an 11th-hour pitched battle between state forces and moro secessionist rebels operating in the mamasapano area.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

"waziri wa utamaduni, rosa cruz e silva, alisema kuwa sheria inayohusiana na uhuru wa mkutano wa dini lazima iundwe upya "kama njia ya kupambana kwa 'nguvu' kuanzishwa kwa mkutano mpya za kidini ambazo mikutano yao ya dini ni kinyume na tabia zetu na forodha katika utamaduni wa angola. "

İngilizce

the minister of culture, rosa cruz e silva, said that a law related to liberty of religious assembly should be revised "as a way of fighting 'vigorously' the coming up of new religious congregation whose religious assembly are contrary to our habits and customs to angolan culture." the destruction (...) must be immediately stopped and we demand an apology from the president of angola to muslims around the world. if not, then we would like to invite the islam community to protest peacefully in front of the buildings of angolan embassies around the world.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,781,525,678 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam