İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
wakati wa chakula cha jioni
dinner
Son Güncelleme: 2021-04-26
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
Referans:
muhtasari wa mgao wa mali
uncle
Son Güncelleme: 2020-01-12
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
@jenanmoussa: ni wakati wa chakula cha jioni hapa aleppo.
@jenanmoussa: it's dinner time here in #aleppo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
leo hii, miezi mitano baada ya mafuriko, hatuna ukosefu wa chakula.
today, five months after the floods, we do not have a food crisis.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
wapinzani wetu walitaka dunia kuamini kinyume, kwamba ukosefu wa chakula usingekwepeka.
our detractors wanted the world to believe the opposite, that food crisis was imminent.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
alitueleza kwamba ubora wa chakula kule gerezani umeongezeka kidogo tangu ramadhani iliyopita ...
he told us the quality of food since last ramadan became better in prison...
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mwanafunzi mwingine akionesha kibobo chenye chakula cha adhuhuri huku akilalamika kuhusu ubora wa chakula hicho.
another student shows a tiffin box and complains about the quality of the food.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mume wa mkuu wa shule anaelezwa kuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa na ndiye aliyekuwa msambazaji wa chakula shuleni hapo.
the school principal's husband is reported to be a political figure who was responsible for supplying food to the school.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hata hivyo, tangu kuanza kwa utaratibu huu, kumekuwa na taarifa za wazi za ubadhirifu wa chakula kilichokusudiwa kwa wanafunzi.
however, ever since the start of the scheme, reports of embezzlement of food meant for children have consistently surfaced.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
huko toliara, kusini mwa madagaska, mradi wa chakula cha mchana mashuleni unasaidia katika kukabiliana na matatizo yaliyokithiri ya utapia mlo.
in toliara in southern madagascar, a school lunch project is helping to fight the problems of chronic malnutrition.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika umoja wa nchi za ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama, hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama
there are strict procedures and veterinary control on the introduction of products of animal origin into the european union for official controls
Son Güncelleme: 2014-02-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kipimo kiliidhinishwa na usimamizi wa chakula na dawa chini ya uidhinishaji wa matumizi katika dharura.mahabara ya kibiashara ya markani yalianza kufanya vipimo mnamo machi 2020.
the test was approved by the food and drug administration under an emergency use authorization.us commercial labs began testing in early march 2020.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kwa mujibu wa taarifa za habari za mwaka 2006, ilionekana kuwa, wanafunzi wa shule za misingi za darjeeling walikabiliana na upungufu wa chakula kwa muda wa miezi 18.
a 2006 news report found that students of a primary school in darjeeling were deprived of their meals for 18 months.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
janga la njaa ambalo kwa kiasi kikubwa haliripotiwi ipasavyo huko sahel limechukua sura kubwa ya kutisha kufuatia kiasi cha watu milioni 2.5 nchini naija hivi sasa kuathirika na uhaba wa chakula.
the largely under-reported food crisis in sahel has taken worrisome proportions as about 2.5 millions of people in niger are currently affected by food shortage.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kudumisha usambazaji wa huduma za matibabu kwa angalau siku 30, usambazaji wa chakula na mahitaji mengine muhimu kwa wiki 2 na kufahamu dalili za covid-19 kunapendekezwa kwa watu walio na hali sugu za afya.
maintaining at least a 30-day supply of medication, a 2-week supply of food and other necessities, and knowledge of covid-19 symptoms are recommended for those with underlying health conditions.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
angalau wanafunzi 520,000 na familia zao wanaweza kuathirika na ukosefu wa chakula cha kutosha kutokana na kufungwa kwa shule.mipango ya chakula shuleni ni mpango wa pili kwa ukubwa baada ya ule wa msaada wa chakula katika kupambana na njaa nchini marekani.
at least 520,000 students and their families may be affected by food insecurity as a result of school closures.school lunch programmes are the second-biggest anti-hunger initiative in the united states after food stamps.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ushahidi wa hivi karibuni kabisa wa utumiaji mbaya wa vyombo vya habari umewekwa bayana na wanablogu wa nchi hiyo mnamo tarehe 20 agosti baada ya gazeti la le temps ambalo huchapishwa pia kwa kiarabu kama assabah kuchapisha ripoti kuhusu taasisi ya hisani ya zeitouna kutuma msaada wa kibinadamu wa chakula kwa waathirika wa mafuriko nchini pakistani.
the latest evidence of media manipulation was identified by tunisian bloggers on august 20 when newspaper le temps and its arabic version assabah published reports on fundation zeitouna sending of humanitarian food supply to the victims of the floods in pakistan.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
patricia kahill anawatakia wa-ganda siku njema ya uhuru, lakini aligusia kero ya mgao wa umeme, unaofanywa na kampuni ya kusambaza umeme wa maji iitwayo umeme:
patricia kahill wishes ugandans nice independence day, but comments on the load shedding of power by umeme, the company providing hydro electric power:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
na vidole vyake laini, alichukua samaki wa moto mdogo kwa kumkamata mkiani, akamtosa kwenye bakuli la mchuzi, akamsogeza karibu na midomo yake, akapuliza ili ampoze halafu akammeza wote, kichwa, mifupa pamoja na mkia kama vile mtaalamu wa chakula wa kweli.
with delicate fingers, she picked a small hot fish by the tail, dipped it slightly in a bowl of sauce, brought it close to her lips, blew on it to cool it down then swallowed it all, head, bones and tail like a true gourmet.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: