İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
mitindo
styles
Son Güncelleme: 2021-05-10
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kuna mitindo mingi ya ngono
there are many sexual orientations
Son Güncelleme: 2023-07-14
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mitindo ya kihesabu yameonyesha kuwa usambazaji wa mkurupuko huweza kucheleweshawa kwa kufunga shule.
mathematical modelling has shown that transmission of an outbreak may be delayed by closing schools.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mavazi ya harusi nchini turkmenistan yanatofautiana sana, yakiwa na rangi na mitindo tofauti yenye bei tofauti.
wedding dresses in turkmenistan are highly diverse, coming in different colors and patterns, and at different prices.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
na wala hakuna ushahidi kwamba alivaa suruari fupi mithili ya kaptula ndefu, lakini mitindo hiyo ndiyo maarufu zaidi kwa kundi hili.
nor is there any to prove that his pyjamas ended several inches above his ankles, but that is also a popular sartorial choice amongst this lot.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
je, muziki huo wa k-pop umekuwa na athari gani kwenye utamaduni, mitindo na muziki wa korea kusini?
what has the impact of k-pop been on culture, fashion and music in south korea?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kitabu hicho cha kielektroni kimetolewa kwa utaratibu wa leseni ya creative commons attribution 3.0 na kinapatikana kwa kukipakua kutoka mtandaoni katika mitindo mitatu tofauti:
the e-book is released under a creative commons attribution 3.0 license and is available for downloading in three different formats:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
picha ya maonesho ya mitindo iliyopigwa wakati wa onesho la mwaka jana. wapenzi hawa wanaonekana kwa nje wanafuraha, lakini mkono wa mwanamke huyu umefungwa pamoja na mkono wa mwanaume.
image from last year's fashion show. the couple looks happy in their relationship on surface ,but the woman's hand is chained to the man's.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya mungu, kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu.
and be not conformed to this world: but be ye transformed by the renewing of your mind, that ye may prove what is that good, and acceptable, and perfect, will of god.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hali kadhalika, nawataka wanawake wawe wanyofu na wenye busara kuhusu mavazi yao; wavae sawasawa na si kwa urembo wa mitindo ya kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,
in like manner also, that women adorn themselves in modest apparel, with shamefacedness and sobriety; not with broided hair, or gold, or pearls, or costly array;
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
arrow alianza kuchanganya muziki wa calypso na mitindo mingine kama vile r&b, zouk na salsa na mnamo mwaka 1982 alishirikiana na muandaaji muziki leston paul pamoja na bendi yake ya multi national force na kurekodi santuri ya ‘hot hot hot.’
arrow began to fuse calypso with other genres such as r&b, zouk and salsa and in 1982 he worked with arranger leston paul and with his multi national force band to record the album `hot hot hot.`
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor