Şunu aradınız:: ni vyema kukutana (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

ni vyema kukutana

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

lakini je, ni vyema kweli?

İngilizce

but is it really good?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hakuna utukufu kwenye kifo, lakini, ni vyema.

İngilizce

no glory in death, but, well, good.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

sasa ni vyema nitoe ufafanuzi kuhusiana na kundi hili la waislamu.

İngilizce

now i should also provide some clarification about my introduction to this class of muslim.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

isipokuwa hivyo, hata hivyo, ni vyema watu wakaanza kulitafakari kuanzia sasa.

İngilizce

if it does not, however, it good that people are starting to think about it now.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ni vyema pia kueleza kuwa maafisa wa wizara ya mambo ya ndani mjini andijan hawajatoa maoni yoyote.

İngilizce

it’s worth mentioning that interior ministry officials in andijan gave no comment.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

“picha hiyo ndiyo iliyotufanya tufike hapa, ni vyema ukaiondoa” afisa wa polisi aliongeza.

İngilizce

"that sign is the only reason we're here in the first place, it's better you take it down," he adds.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

ili kupunguza usambazaji wa vijidudu, ni vyema kuosha mikono au kutumia kemikali ya kuua baktria kabla na baada ya kuhudumia mgonjwa.

İngilizce

to reduce the spread of germs, it is better to wash the hands or use a hand antiseptic before and after tending to a sick person.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

itakuwa vibaya kwa npp kutuambia nini cha kufanya baada ya kukataliwa na ikiwa watunga sheria wote wa chama na wengine wamefikia kutambua kumwacha rais mills afahamu hisia za wanachama na waghana, basi ni vyema kwetu.

İngilizce

it will be bad for the npp to tell us what to do after they have been rejected and if all party legislators and others have come to the realization to let president mills know about the feelings of party members and ghanaians, it is good for us.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ni vyema wakielekeza nguvu zao kwenye masuala yanye uzito, kama vile kuanzisha mfumo wa vyama viwili vya kweli nchini singapore ambapo wananchi hawatachapwa kama watumwa na ambapo wageni wanaingia kwa makundi makubwa na kupotosha moyo wa taifa.

İngilizce

it is better they direct their energies to more worthy cause, like establishing a genuine two-party system in singapore where our citizens are not whipped like slaves and foreigners entering en mass diluting our national spirit.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

indi.ca kutoka sri lanka anakisifu kipindi: pamoja na matatizo mengi ya kijamii, aibu yote hubebwa na muadhiriwa ambaye hunyanyasika na ukimya .kuuvunja ukimya huo kunaweza kuleta mabadiliko, na ni vyema kwamba khan anatumia umaarufu wake vyema.

İngilizce

indi.ca from sri lanka praises the show: with many social problems, the shame is on the victim and they are brought into the conspiracy through silence. but breaking that silence can have a knock-on effect, and it’s great that this khan is using his celebrity for such a worth cause.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,726,814,766 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam