Şunu aradınız:: nia ndiyo jambo la kwanza kabla ya yote (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

nia ndiyo jambo la kwanza kabla ya yote

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

sisi ni tanzania kwanza, kabla ya rangi, dini au ukabila.

İngilizce

we are tanzanians first, before any ethnic, religious or tribal affiliation.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mwanablogu huyu anasema kuwa jambo la kwanza ambalo serikali ya irani inaweza kulifanya ni kutumia lugha inayofaa kisiasa.

İngilizce

the blogger says that the first thing the iranian government can do is to use appropriate political language.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

baada ya ushindi wake kwenye uchaguzi jambo la kwanza alilolifanya lilikuwa ni kuwaalika waandishi wa habari nyumbani kwake kuonja tambi alizozitengeneza nyumbani.

İngilizce

after his election victory the first thing he did was invite reporters from all over thailand to his home to sample his homemade noodles.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

jambo la kwanza, sikuweza kutambua namna wazee wa singapore walivyojisikia kwa kunyimwa haki ya kumiliki na kutengwa hadi pale mzee mmoja mchangamfu kutoka katika kikundi changu alipotoa maoni yake.

İngilizce

for one, i didn't realize that the elderly in singapore felt such a sense of dispossession and rejection until one elderly gentleman from my group said his piece.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea yesu wakamwuliza, "unataka tukuandalie wapi chakula cha pasaka?"

İngilizce

now the first day of the feast of unleavened bread the disciples came to jesus, saying unto him, where wilt thou that we prepare for thee to eat the passover?

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

jambo la kejeli, hata hivyo, ni kuwa chiluba, kabla ya kifo chake, alijitangaza kuwa mshauri wa kisiasa wa rais banda na aliyeapa kuwa atazileta ngome za sata vijijini kwenye kambi ya mmd.

İngilizce

the irony, however, is that chiluba, before his demise, touted himself as president banda’s political consultant who vowed to deliver sata’s perceived regional strongholds to the mmd.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

sifanyi kazi katika vyombo vya kusimamia sheria na sifahamu kile anachoweza au asichoweza kukithibitisha… lakini kabla ya yote, mwanamke ni lazima ajiepushe na aina ya maisha itakayompelekea kubakwa.

İngilizce

i do not work in the law enforcement and do not know what a woman can or cannot prove… but first of all, should lead such a lifestyle as to not be exposed to the risk of rape.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

daudi oliveira de souza, daktari na profesa wa taasisi ya utafiti wa hospitali ya sirio-libanés, alituma barua ya wazi kwa madaktari zaidi ya mia nne wa cuba ambao hivi karibuni waliwasili nchini brazil wanaoanzisha kundi la kwanza la jumla ya madaktari 400 ambao wanatarajiwa kuja nchi hii kabla ya desemba mwaka huu.

İngilizce

david oliveira de souza, a doctor and professor from the research institute of the sirio-libanés hospital, sent an open letter to the more than four hundred cuban doctors who recently arrived in brazil and who constitute the first group of a total of 4,000 physicians who are expected to come to this country before december of this year.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuna baadhi ya watu waliojibu mjadala huu kwa kusema, "hapana, si tatizo, haina maana awe ni msagaji au sio," lakini sawa, jambo la kwanza tunalopaswa kuwa tunalisema ni "ndio, ndo, ni muhimu"...ndio, maamuzi binafsi ni muhimu kwenye mahakama, ndio, yanaleta jambo fulani kwenye kazi zake za kila siku, ndio, tofauti ni muhimu majaji wnaapotekeleza kazi zao , na kama mtu binafsi, kama maite oronoz, ana uzoefu wa kimaisha kwa mtazamo huo, ningeweza kusema kwamba kuwa hilo ni suala kubwa isivyo kawaida.

İngilizce

there are some people who have responded to this discussion by saying, "no, it's not important, it's irrelevant whether or not she's a lesbian," but well, the first thing we should be saying is "yes, yes, it is important"... yes, subjectivities are important in court, yes, they do bring something to the table, yes, diversity is important when the judges are deliberating , and if an individual, like maite oronoz, has a life experience from that perspective, i would say that's extraordinary.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,787,605,931 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam