İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
shahada ya elimu ya sanaa
bachelor arts with education
Son Güncelleme: 2022-04-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
shahada ya sanaa katika sosholojia
pursuing
Son Güncelleme: 2023-05-08
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
shahada ya sanaa na sayansi ya jamii
advanced certificate of secondary education examination
Son Güncelleme: 2023-04-30
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
Referans:
“kazi kubwa ya sanaa inapaswa kuwa kuwaunganisha watu.
“the main function of art should be to connect to people.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
botswana: kuibwa kwa kazi ya sanaa ya "bushman's secrets"
botswana: stealing of the 'bushman's secrets' · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
global voices ilizungumza na fiadeiro kuhusu kazi yake ya sanaa na namna michoro yake ilivyomsaidia kuifahamu mauritania.
global voices spoke to fiadeiro about her art and how sketching has helped her get to know mauritania.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kazi ya sanaa ya kasha la albamu ya nyota ndogo iitwayo – mpenzi amekuwa akijikusanyia mashabiki wa muziki wa mahadhi ya afrika mashariki kwa zaidi ya miaka mine sasa.
an artwork of her nyota ndogo's cover album - mpenzishe has been collecting fans of her eclectic east african sound for over 4 years now.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
msanii wa kireno isabel fiadeiro (@isabelfiadeiro) anayeishi katika mji wa nouakchott, mauritania, ambako anachora na kuendesha maonyesho ya kazi ya sanaa.
portuguese artist isabel fiadeiro (@isabelfiadeiro) lives in nouakchott, mauritania, where she paints and runs an art gallery.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
myweku anaichambua filamu yenye maudhui halisi (documentary) inayoelezea wizi wa kazi ya sanaa ya sana iitwayo "bushman's secrets":
myweku reviews a documentary about stealing of the san "bushman's secrets":
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
igarashi alikamatwa tena mara kadhaa kwa kuonesha kazi yake ya sanaa iliyokuwa na sura ya sehemu zake za siri kwenye duka moja la ngono jijini tokyo -kitendo cha kidhalilishaji kilichofanywa na polisi, kwa mujibu wa mawanasheria wake.
igarashi was again arrested several months later for displaying another artwork based on the shape of her genitalia in a tokyo sex shop—a clear case of police harassment, according to her lawyer.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
blogu ya maonyesho ya sanaa ya taifa nchini jamaika inayo msisimko kuhusu maonyesho yajayo ya sanaa ya watoto, ambayo yataonyesha "mwitikio wa pekee wa watoto kwa maswali kuhusu udadisi wao na msukumo wa aina tofauti wa ubunifu unaokua."
the national gallery of jamaica blog is excited about an upcoming exhibition of children's art, which will highlight "the children’s unique responses to questions about their curiosities and the diverse urges of their developing imaginations."
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
pengine ingizo jingine jipya na lenye nguvu katika uwanda wa usomaji wa kikaribea mtandaoni ni repeating islands, blogu ya sanaa na utamaduni inayoendeshwa na wasomi wawili wa fasihi wenye mizizi huko puerto rico, ivette romero-cesareo na lisa paravisini-gebert.
the most energetic recent arrival in the caribbean online literary scene may be repeating islands, an arts and culture blog run by two literary scholars with roots in puerto rico, ivette romero-cesareo and lisa paravisini-gebert.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
geraldin rodríguez, mwajentina aliye kwenye jela za ecuador kwa sababu ya biashara ya madawa ya kulevya anamueleza marcos brugiati, mwandishi mshiriki katika chapisho la mtandaoni linalohusiana na masuala ya sanaa liitwalo plastica-argentina, masimulizi kuhusu kuigiza na kufanya maonyesho ndani ya jela, kupata ujauzito gerezani na kumpata mwanae.
geraldin rodríguez, an argentinean spending time in an ecuadorian jail due to drug trafficking tells marcos brugiati, a writer who contributes with the art related online publication plastica-argentina, the story about acting and performing in jail, getting pregnant in prison and having her child.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: