Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kijana huyo mwenye akili inasemekana aliwaendea wakubwa wa safaricom na wakamkatalia kuwa wazo lake lisingetekelezeka na ajabu miezi kadhaa baadae wakazindua huduma hiyo.
samuel gikuru questioned safaricom's motives and even accused the company of stealing the idea from a kenyan:
katika kusherehekea miaka saba ya huduma hiyo, safaricom iliwahamasisha wa-kenya kwenye mtandao wa twita kutumia alama habari ya #beforempesa kueleza namna huduma hiyo ilivyobadili maisha.
to celebrate the seven-year anniversary, safaricom encouraged kenyans on twitter to use the hashtag #beforempesa to explain how the service has affected their lives.
mwezi machi 2014 yatakuwa ni maadhimisho ya miaka saba tangu m-pesa, huduma ya kufanya miamala ya kifedha kwa njia ya simu na huduma ndogo za kibenki, ilipoanzishwa kenya na kampuni ya simu za mkononi iitwayo safaricom.
march 2014 marks seven years since m-pesa, a mobile-phone based money transfer and micro-finance service, was introduced to kenya by telecoms company safaricom.