Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
jamhuri ya czech na slovakia zilipiga marufuku kwenda nje hadharani bila kuvaa baragoa au kufunika mapua na mdomo yako.
the czech republic and slovakia banned going out in public without wearing a mask or covering one's nose and mouth.
kuelekea mwishoni mwa mwaka 2009, raia wa hungaria na wale wa slovakia walianzisha kampeni ya mtandaoni ambayo ilikuja kupata sura yake maridhawa mwezi januari 2010.
at the end of 2009, hungarian and slovak citizens started an online campaign which will turn into more visible formats in january 2010.
raia wa hungaria na slovakia walijikuta wakishuhudia wanasiasa wao wakianza hata kuhusisha taasisi ya jumuiya ya ulaya, yaani, shirika la usalama na ushirikaiano la ulaya, kwa kifupi osce, katika mivutano hiyo.
hungarian and slovak people could even see their politicians involving an eu institution, the organisation for security and co-operation in europe (osce) into their discussion.
fifa iliipiga faini shirikisho la kigiriki 30,000 faranga ya uswisi ($ 32,500) kufuatia taarifa ya mabango yaliyoonyeshwa wakati ugiriki iliwashinda slovakia 1-0 mjini athens oktoba 11.
fifa fined the greek federation 30,000 swiss francs ($32,500) following reports of far-right banners displayed when greece beat slovakia 1-0 in athens on october 11.