İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kionyeshi tagi ya tangazo
ad tag display
Son Güncelleme: 2021-05-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hiyo yapasa kuibua mashaka: huenda ukurasa huo ni batili.
that should set off alarm bells: the page is probably fake.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
polisi wa hong kong waliyatangaza maandamano hayo ya kukaa kuwa batili na walifunga barabara na njia zinazoelekea kwenye makao makuu ya serikali.
hong kong police called the sit-in illegal and blocked roads and pathways leading to the government headquarters.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
glenda larke anaamini kwamba ndoa za watoto hazina tofauti na ngono batili kati ya watu wazima na watoto, hata kama ni kwa mujibu wa sheria.
glenda larke believes that a child marriage is no different to paedophilia, even if it is legal.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ingawa wanajua kuna mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, wala hawamshukuru. badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao tupu zimejaa giza.
because that, when they knew god, they glorified him not as god, neither were thankful; but became vain in their imaginations, and their foolish heart was darkened.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mohamud uluso anauchukulia rasmu ya katiba kama “kazi inayoharakishwa, toleo la hivi karibuni zaidi likipatikana katika lugha ya kisomali pekee wakati rasimu nyingine za zamani au zile batili zikiwa zinazagaa katika mtandao wa intaneti":
mohamud uluso considers the draft constitution "a hurried job, with the latest version available only in somali language while various outdated or fake versions are circulating on the web":
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
diegoalejandro1985 ametuma picha ya video inayoonyesha watu wakiwa katika mstari wa kuingia katika moja ya taasisi zinazoendesha michezo hiyo inayojulikana kama drfe wakijaribu kudai pesa zao mara baada ofisi ya mwanasheria mkuu kuivamia na kuipekua, ambapo kuna fedha zilizokutwa zilizodhaniwa kuwa ilikuwa zitumike kulipa wale waliowekeza pesa zao kwenye taasisi hiyo, hata hivyo, msako huu unasemekana kwamba ulikuwa batili na hivyo mchezo wa upatu katika jengo hilo bado unaendelea.
diegoalejandro1985 posts a video of people lining up outside one of these investment options known as drfe, trying to claim their money after the general attorneys searched the premises and took hold of money that could've been used to pay those with savings invested in the organization, but this search was deemed illegal and the pyramid scheme is still in operation.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.