Şunu aradınız:: tasnia (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

tasnia

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

ni kwa kupitia mikakati hiyo kwamba afrika inaweza kuchangia kipekee katika tasnia ya sayansi duniani

İngilizce

it is through such strategies that africa will be able to make its own unique contributions to the global scientific enterprise

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

habari za kusikitisha kuhusiana na tasnia ya usafiri wa anga na wale waliokuwepo kwenye ndege hiyo!

İngilizce

very shocking news for aviation industry and those onboard!

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mafunzo microsoft yanajaribu kutumia kile tunachokisoma darasani, lakini yamenipa uelewa mpana wa ujenzi wa programu na namna tasnia hiyo ilivyo pana.

İngilizce

mta training links to what we're learning in class, but has given me a greater understanding of programming and how diverse the field is.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, wakati ambapo blogu na mitandao ya kijamii ikiwa bado inaendelea kukuza sauti, hivyo pia ndivyo tasnia ya teknohama inavyofanya kwa ujumla.

İngilizce

however, while blogs and social networking sites clearly have a role to play in empowering marginalized groups, so too do icts in general.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

humaidan ameshinda zaidi ya tuzo za kimataifa 140 katika tasnia ya uandishi wa habari picha, na anachukuliwa kuwa mpigapicha bora wa pili wa nchi za kiarabu kushinda katika mashindano ya upigaji picha.

İngilizce

humaidan has won more than 140 international awards in photojournalism, and he is considered the second most arab photographer to win awards in photography competitions.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

huko karachi, kampala, cairo na skopje washiriki wengi tayari wamekutana na wanachama wa global voices waliowezesha mafunzo ya vikundi na kushirikishana maarifa katika tasnia ya uandishi wa kiraia.

İngilizce

in karachi, kampala, cairo and skopje dozens of participants have already met gv members who facilitated peer learning and knowledge sharing in the field of citizen media.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, tusisahau kuwa utawala wa tasnia ya kandanda umekuwa mbaya, kukiwa na ufisadi mwingi, na kwa sababu ya mambo kama haya haifai kabisa kutarajia mengi kutoka kwa kocha huyu mpya.

İngilizce

however, bearing in mind that football administration has been deplorable, laden with corruption and all manner of ills, it will be wise not to expect too much from the new stars tactician.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

matatizo yanayosababishwa na urekebishwaji matiti wenye makosa yamezua mgogoro mkubwa katika tasnia ya afya ya jamii. kumekuwa na maswali juu ya tunu za kimaadili dhidi ya kujipatia fedha katika njia hii ya kurekebisha matiti barani amerika ya kusini. kengele ya kwanza ya onyo ilisikika mwanzoni mwa mwaka 2010.

İngilizce

the problems arising from the defective pip breast implants have led to a profound crisis within the realm of public health, calling into question the values surrounding and resources apportioned to breast augmentation in latin america.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kumwezesha raia mmoja moja wa kinajeria kuwa mwangalizi wa matukio katika maeneo ya: uchaguzi huru na haki; ufisadi wa maafisa wa ofisi za umma, watumishi wa umma na mashirika yanayoshughulika na sheria; uvunjifu wa haki za binadamu wanaokutana nao; kufanyika chanzo cha habari kwa ajili ya tasnia ya mawasiliano ya umma katika kutangaza matukio yanayoripotiwa na raia wa kinaijeria; kutoa mfumo wa kuziunganisha na kuzichambua taarifa na kuzielekeza kunakotakiwa ili kufahamisha ufikiwaji wa maamuzi ya umma, sura na kusababisha mabadiliko ya matokeo ya sera.

İngilizce

to empower the individual nigerian citizen as a monitor of incidents in the area of: free and fair elections; corruption of public officials, civil servants and law enforcement agents; human rights abuses to provide a mechanism for citizens to report on incidents of electoral malpractices, corruption and human rights violations that they experience; to provide a resource to the mass communication industry in publicising the incidents reported by nigerian citizens; to provide mechanism for collating and analysing reports and channelling them appropriately to inform public decision making, shape and influence policy outcomes.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,777,120,383 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam