Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
ufisadi
corruption
Son Güncelleme: 2013-02-13
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kumbukumbu ya ufisadi.
the legacy of corruption.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakakithirisha humo ufisadi?
and exceeded in corruption therein.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
zote ni nchi zinazonuka ufisadi.
both corrupt countries.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ufisadi unazorotesha maendeleo ya nchi.
fact 3: corruption impedes kenya’s socio -economic development
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na mwenyezi mungu hapendi ufisadi.
allah does not love corruption.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ufisadi huu unawaathiri maskini na watu wa kati.
petty corruption affects the middle class and poor.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ambao wanafanya ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi.
"who make mischief in the land, and mend not (their ways)."
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
ufisadi unabaki kuwa kizuizi kikubwa kwa mtazamio huu.
as kenya trudges into the future with the vision 2030 as the blueprint for the country’s economic, social and political development, corruption remains one of the most significant challenges to that goal.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ofisa aweka wazi ufisadi wa polisi kupitia mtandao
russia: officer exposes police corruption using the web · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
utashi wa kisiasa ni ufunguo wa kupambana na ufisadi.
political will is key to fighting corruption.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
sehemu ya 4 - ufisadi kwenye sekta ya afya india
episode 4 - corruption in the indian healthcare system
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kenya: wanaharakati wapigana vita dhidi ya ufisadi kwa intaneti
kenya: digital activists fight corruption online · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wengine hawakukubaliana na maoni yake kuhusu ufisadi nchini naijeria:
others disagreed with his assessment of corruption in nigeria:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
alizungumzia ufisadi na utawala mzuri, ndicho ambacho nilipenda kukisikia.
he struck on corruption and good governance, what i wanted to hear.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
basi, matendo ya kidunia yanajulikana: uzinzi, uasherati, ufisadi;
now the works of the flesh are manifest, which are these; adultery, fornication, uncleanness, lasciviousness,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ana vijana wengi wanaomfuata nchi afrika kusini hata kama ana mashitaka ya ufisadi.
he has a huge youth following in south africa even though he is facing allegations of corruption.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
itakuwa vigumu kufikia azimio la vision 2030 iwapo watu hawatakataa ufisadi mdogomdogo.
it will be difficult if not impossible to meet our goals for vision 2030 if dont say no to petty corruption.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
demokrasia changa ya afrika kusini iko shakani kushindwa ikiwa suala la ufisadi halitashughulikiwa.
south africa's fledling democracy is at risk of failing if the issue of corruption is not addressed.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
jinsi watu watakavyoendelea kuongea kuhusu ufisadi, ndivyo watu wataendelea kujua kuhusu swala hili.
the more we talk about it, the more attention it gathers and leaders and policy makers are forced to address the issue.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: