İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
utafiti unaonesha kwamba nchi 15 ziko kwenye hatari sana ya kupata maradhi hayo , kwa sababu ya kuwa na mazingira yanayofanana na mazingira yaliyo kwenye nchi zilizoathirika.
a study states that 15 african countries are potentially at risk, due to having the same environmental conditions as the affected countries.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
jumla ya nchi 18 za ki-afrika hazina ukomo wa mihula ya urais, ingawa utafiti mpya unaonesha kwamba wa-afrika wengi wanakubaliana na kuwepo kwa ukomo wa mihula ya urais.
a total of 18 african countries do not have presidential term limits, although new research suggests that most africans support two-term presidential term limit.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
utafiti mpya uliofanywa na afrobarometer, mradi unaopima mitazamo ya wananchi katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara, unaonesha kwamba wa-afrika wengi wanaunga mkono ukomo wa vipindi viwili tu kwa marais wao.
new research by afrobarometer, a project that measures public attitudes in sub saharan africa, suggests that most africans support two-term presidential term limits for their presidents.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.