İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
tafadhali anza kuingia na nenosiri lako la google kuanzia sasa. hivi karibuni utakuwa unatoa usaidizi wa kuingia na neneosiri lako la zamani la youtube.
please start logging in with your google password from now on. soon you will be providing login help with your old youtube site.
Son Güncelleme: 2023-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tumekuwa kituo ambacho kundi la kuvutia la watu wenye vipaji, werevu na wanaojali wengine hupata kuridhika, kutambuliwa duniani, na usaidizi wa kijamii.
we have become a hub through which an amazing group of talented, articulate, and caring people can find fulfillment, global recognition, and community support.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hii ni sababu ambayo reuters ilitoa usaidizi wa kiini katika miaka yetu mitatu ya kwanza, na sababu ambayo mashirika mengi ya habari yanaendelea kufanya kazi na wahariri wet una kuwasiliana na watu wanaojitolea kwa ajili ya mahojiano.
this is why reuters provided critical core support in our first three years, and why a many news organizations continue to work with our editors and to contact our volunteers for interviews.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mkakati wa kimsingi wa kitaifa wa maambukizi ya covid-19 ni kuudhibiti, huku wagonjwa walio katika hatari kubwa zaidi wakifuatiliwa kupitia mfumo wa usaidizi wa njia ya simu nhs111 timu za ulinzi wa kiafya za phe, lakini uchunguzi wa rcgp rsc ni tofauti kikamilifu.
the primary national strategy for covid-19 infection is containment, with patients who are at high risk managed via the telephone help system nhs111 and the phe health protection teams, but the rcgp rsc surveillance is entirely separate.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
asante kwa kuwasiliana na usaidizi wa bolt, tuko kwenye huduma yako. kwa kujibu kesi yako, tafadhali kumbuka kuwa wasiwasi wako umepokelewa, na tunatarajia kusuluhisha hivi karibuni na ushirikiano wako. kwa hivyo tunapenda kukuuliza ututumie kwa upole anwani ya barua pepe na nambari ya simu iliyosajiliwa kwa akaunti yako ili tushughulikie ombi lako. tunatarajia kusikia kutoka kwako hivi karibuni.
best regards
Son Güncelleme: 2021-03-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.