İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
visingizio vinavyohusu ukosefu wa elimu kati ya wengi wa watengenezaji pamoja na wasanii wa muziki huo ni kutusi akili na kina cha ubunifu uliopo kwenye utamaduni/muziki.
excuses regarding a chronic lack of education on the part of many of its producers and artistes are an insult to the diversity of intelligence and depth of talent within the industry/culture.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa kutumia kigezo kuwa maombi ya kupata taarifa ndio sababu kubwa ya kuchelewesha malipo, waandamanaji wana lengo la kuonesha mapungufu ya utaratibu huu wa wizara ambao wengi wanaamini kuwa urasimu huu ni visingizio na kanuni zisizo na maana yoyote.
by submitting requests for access to information as to the reasons for the delay in payments, protesters aim to show the bureaucratic inefficiency of the ministry under what many say is an absurd pretext and absurd regulations.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"tumetoa tamko la kumaliza manung'uniko yasiyo na maana na ahadi za uongo, visingizio na imani zilizopitwa na wakati, ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikinyonga siasa yetu."
“we come to proclaim an end to the petty grievances and false promises, the recriminations and worn out dogmas, that for far too long have strangled our politics.”
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor