İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kwa mfano, mwisho wa februari daktari mwitaliano akiwa kwenye likizo kule costa adeje (visiwa vya canary) alipatikana kuwa na covid-19, na kama matokeo yake wageni wote katika hoteli aliyoishi walisalia karantini.
for example, in late february an italian doctor on vacation in costa adeje (canary islands) was diagnosed with covid-19, and as a result all the guests in the hotel he stayed at were quarantined.
katika visiwa vya canary, kwa mujibu wa blogu ya prisiones y penas, ambayo huandika kuhusu habari zinazohusu jela na magereza, wanawake wanaruhusiwa kuishi na watoto wao hadi umri wa miaka mitatu ndani ya selo zao, lakini wakiwa pamoja na wafungwa wenzao, kitu ambacho sio mazingira mazuri sana kwako.
in the canary islands, according to the prisiones y penas blog, which writes about the issues surrounding jails and prisons, women are allowed to keep their children of up to 3 years of age with them in their cells, but in the company of other inmates, which isn't the best environment.
bloga living in barbados alimpachika jina mkimbiaji #1 duniani kama "silaha ya maangamizi", wakati bloga wa visiwa vya cayman mad bull alimuita "radi iliyopakwa mafuta", na akaongeza:
living in barbados referred to the world #1 as "a weapon of mass destruction", while cayman islands blogger mad bull called him "greased lightning", adding:
kwa mfano, katika kesi ya vita kati ya uingereza na argentina kuhusu visiwa vya falkland, kura ya maoni iliofanywa kuhusu idadi ya watu, ambapo 98% ya idadi walipiga kura kwa ajili ya kuwa chini ya utawala wa uingereza, waliungwa mkono, wakati katika crimea, hakuna wasia wa kukubali uhalali wa mchakato.
for instance, in the case of the conflict between great britain and argentina regarding falkland islands, a referendum carried out on the population, where 98% of the population voted for staying under great britain's administration, received support, while in crimea, there is no will for acknowleding the legality of the process.