Şunu aradınız:: vitanda (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

vitanda

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

tuna vyumba vya upasuaji na vitanda.

İngilizce

we have operating rooms and beds.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

na milango ya nyumba zao na vitanda wanavyo egemea juu yake,

İngilizce

and (silver) doors to their houses, and couches (of silver) upon which they would recline;

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hakukuwa na vitanda vyovyote au magodoro," alisema "tulilala sakafuni.

İngilizce

there weren't any beds or mattresses,” he says. “we slept on the floor.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

siku hiyo, usns comfort, meli ambayo ni hospitali iliyo na vitanda 1000, ilitia nanga new york.

İngilizce

on the same day, the usns comfort, a hospital ship with about 1000 beds, made anchor in new york.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumwomba mola wao mlezi kwa khofu na kutumaini, na hutoa kutokana na tulivyo waruzuku.

İngilizce

their backs do not rest on their beds, and they pray to their lord in fear and hope, and spend of what we have given them (in charity).

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa sababu hiyo, watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

İngilizce

insomuch that they brought forth the sick into the streets, and laid them on beds and couches, that at the least the shadow of peter passing by might overshadow some of them.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

nchi nyingi zilizoendelea hazina vitanda vya kutosha vya kila mtu, ambayo inapunguza uwezo wa mfumo wa afya kushughulikia matukio ya ghafla ya covid-19 ambayo ni kali sana kuhitaji kulazwa hospitalini.

İngilizce

many developed countries do not have enough hospital beds per capita, which limits a health system's capacity to handle a sudden spike in the number of covid-19 cases severe enough to require hospitalisation.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mwitiko dhaifu unaonyesha kuwa kama kila wanandoa wataiunga mkono kampeni na kufanya ubakaji ndani ya ndoa kuwa sheria, polisi watatingwa sana mwaka mzima na hawatakuwa na muda wa kuilinda singapore salama dhidi ya jinai na ugaidi ila kuchunguza yale wanayofanya maelfu ya wanandoa kila usiku katika vitanda, kutathmini kama nguvu za ziada zilitumika dhidi ya mwanandoa mwenza.

İngilizce

the poor response shows that if every couple supports the campaign to make marital rape into law, the police would be kept very busy throughout the year and have no time to keep singapore safe and secure from crimes and terrorism except to investigate what thousands of couple do every night on bed, to assess whether excessive force was used on the partner.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ecdc na ofisi ya eneo la ulaya ya who zimetoa miongozo ya hospitali na za huduma ya msingi ya afya ya kuelekeza rasilimali katika viwango kadhaa, pamoja na kuelekeza huduma za maabara kwa kupima covid-19, kufuta taratibu zilizopangwa iwezekanapo, kukaa mbali na kutenga wagonjwa walio na covid-19, na kuongeza uwezo wa huduma za utunzaji wa hali ya juu kwa kuwafunza wafanyakazi na kuongeza nambari ya vifaa vya kusaidia kupumua na vitanda.

İngilizce

the ecdc and the european regional office of the who have issued guidelines for hospitals and primary healthcare services for shifting of resources at multiple levels, including focusing laboratory services towards covid-19 testing, cancelling elective procedures whenever possible, separating and isolating covid-19 positive patients, and increasing intensive care capabilities by training personnel and increasing the number of available ventilators and beds.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,788,085,247 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam