İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
serikali inakadiria kundi la watu 6,500 lakini waandalizi wa maandamano wanadai kuwa wamewandaa watu zaidi ya 30,000 mitaani.
the government estimated the crowd at 6,500 but rally organizers claimed they mobilized more than 30,000 people in the streets.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
japokuwa takriban watu wapatao milioni 5.7 nchini afrika ya kusini wanaishi na vvu, kwa mujibu wa waandalizi wa mradi huo ni asilimia 5 tu ya watu wamepimwa virusi hivyo.
even though roughly 5.7 million people in south africa are living with hiv, according to the project's organizers just 5 percent of the population has been tested for the virus.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
waandalizi waliwataka wahudhuriaji wayafanye (maandamano) yawe ya amani, na huo ndio uliokuwa wito mkuu katika baadhi ya maeneo ya jiji siku ya jumanne.
organizers urged those attending to make it a peaceful one, and this became a rallying cry in some areas of the city on tuesday.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa mujibu wa tovuti ya waandalizi, mashindano hayo ya bloggies ni mashindano ambayo yamedumu kwa muda mrefu zaidi mtandaoni, na mapendekezo, pamoja na uchaguaji wa washindani katika fainali, ni juu ya msomaji wa blogu.
according to the awards website, the bloggies are the web's longest-running blog awards, and the nominations, finalist selection, are up to the blog reader.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: