İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
wahusika wakuu
Son Güncelleme: 2021-01-14
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
lazima kushiriki data yote na wahusika wengine ufafanuliwe kwa sheria;
any sharing of data with third parties would have to be defined in law;
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
serikali ya india ililazimishwa kuwatia nguvuni wahusika wa vitendo hivi vya kikatili.
the india government has been forced to arrest the perpetrators.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kwanza, ni lazima watu wayasahau au kuyatahadhari maneno yanayotumiwa na wahusika wa mgogoro.
first, one should forget, or at least treat with caution, the wording employed by the actors involved the crisis.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
wahusika wake kutoka uingereza na india walitia kapuni zawadi 8 ikiwemo ile ya picha bora.
its british and indian crews bagged 8 awards including the best picture award.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
wahusika halisi ndio waliojitokeza katika mfululizo wa makala hizi za runinga ambazo zimeshaoneshwa al jazeera na pia katika runinga ya taifa ya uholanzi.
the protagonists themselves worked on the television series, which has already been broadcast on al jazeera and on dutch public television.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mashirika mbalimbali ya kimataifa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari wasio na mipaka maalum wameishinikiza mamlaka ya iran kutoa ufafanuzi wa kina wa mzingira ya kifo cha mwanablogu huyu na kuzitaka jamii za kimataifa kutokukubali kosa hili kumalizwa bila ya wahusika kuadhibiwa.
several international organizations including reporters without borders urged the iranian authorities to clarify the exact circumstances of the blogger's death and called on the international community not to allow the crime to go unpunished.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
"kuna mtazamo wa kibinadamu kwenye uzoefu huu wa kuwa mwanamke wa kiislamu (tena) mmarekani aliyekuwa anakosekana kwenye vyombo vya habari, aliyekosekana kabisa miongoni mwa wahusika tunaowaona kwenye filamu, runinga, kumbi za maonesho," anasema.
"there was a human side to this experience of being a muslim american woman that was completely missing in the media, completely missing in the types of characters we see in film, tv, theater," she says.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor