İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
niliwaonya wote--wayahudi kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie mungu na kumwamini bwana wetu yesu.
testifying both to the jews, and also to the greeks, repentance toward god, and faith toward our lord jesus christ.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ila nilianza kuhubiri kwanza kwa watu wa damasko, halafu kwa wale wa yerusalemu na nchi yote ya yudea, na pia kwa watu wa mataifa mengine. niliwahimiza wamgeukie mungu na kuonyesha kwa vitendo kwamba wamebadilisha mioyo yao.
but shewed first unto them of damascus, and at jerusalem, and throughout all the coasts of judaea, and then to the gentiles, that they should repent and turn to god, and do works meet for repentance.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
utayafumbua macho yao na kuwawezesha watoke gizani na kuingia katika mwanga; watoke katika utawala wa shetani, wamgeukie mungu; ili kwa kuamini, wapate kusamehewa dhambi na kuchukua nafasi yao kati ya wale ambao wamepata kuwa watu wa mungu.
to open their eyes, and to turn them from darkness to light, and from the power of satan unto god, that they may receive forgiveness of sins, and inheritance among them which are sanctified by faith that is in me.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: