İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
hakika wao wanaiona iko mbali,
behold, they see it as if far off;
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
familia za watu waliowekwa kizuizini wanaiona siku hii kama nafasi ya kukuza uelewa kuhusu malengo yao.
the families of detainees saw this day as a chance to raise awareness about their cause.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wanaiona gv kama jukwaa la thamani ambalo wanaweza kukuza simulizi na mitazamo yao kwa hadhira pana zaidi duniani.
they see gv as a valuable platform through which to get their stories and viewpoints amplified to a broader global audience.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mapema mwezi machi mwaka huu, watazamaji walishuhudia jumla ya wafanyakazi wa muda mrefu katika kituo cha kikristo cha kulelea watoto yatima wapatao 20 wakifukuzwa kutoka katika nchi ambayo wanaiona kama nyumbani.
in early march, observers watched as around 20 long-time christian orphanage workers were expelled from the country they called home.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
julie owono, mshirika wa global voices, anaelezea maana ya sheria hii na miitiko ya wanablogu mbalimbali wa kiafrika ambao wanaiona sharia hii kama sababu ya ziada ya kuchangia maendeleo kwenye nchi zao.
julie owono, global voices member, describes the implications of this law and the reactions of various african bloggers that see this law as an additional reason to contribute to the development of their countries.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hatahivyo, kwa kusoma maoni mengi yaliyowekwa pale, mtu anaweza kuondoka na wazo kuwa wakameruni wanaiona hotuba ya obama kama “mazungumzo mazuri” ambayo hayawezi kuwatatulia matatizo yao.
however, reading from many of the comments posted one may come out with the view that cameroonians see obama's speech as "good talking" that cannot solve their problems.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor