Şunu aradınız:: wanaweka (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

wanaweka

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

wageni wanaweka nafasi

İngilizce

dispatch book

Son Güncelleme: 2023-04-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

wanaweka matumaini kwamba watapata habari wakiamini kwamba ndugu zao hao watawasiliana nao.

İngilizce

they are hoping for news and believing that they will soon here from them.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

lakini wanaweka fedha mbele na wanaweza kuwalisha watu nyama ya nguruwe na mapaja yake yaliyokaushwa wakati wa kufunga ndoa na makafiri na pia wanaweza kula kiapo kwa jina la sheitwani.

İngilizce

but put a rupee in front of them and they will serve up a round of bacon and ham while marrying a kafir and swearing an oath to satan.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

wapakistani wema wanaweka saini makubaliano haya ya kuishinikiza serikali kuingilia kati jambo hili kwa sababu serikali ya pakistani imeshindwa hata kumlinda mtawala wao mwenyewe ambaye alitokea kupinga hadharani sheria katili ya kukashifu dini ambapo mtuhumiwa anayekashifu dini atalazimika kufungwa jela na na pia hata mtuhumiwa kunyongwa.

İngilizce

pakistanis of good conscious are signing this petition because the state of pakistan even failed to protect their own governor who spoke out against the draconian blasphemy law, where mere accusation of blasphemy will ensure jail and perhaps worse for the accused.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

lakini, jambo kubwa kabisa ni kuwa, tukio hili linaonesha ishara ya kuwepo kwa hali ya umoja pamoja na kuwepo kwa mpasuko hatari wa kisiasa uliotapakaa nchini kote kwani washindani, wakosoaji na wapinzani wanaweka tofauti zao kando na kumtakia khan siha njema.

İngilizce

but phenomenally, the incident shows signs of bridging the bitter political divides across the country, with political rivals, critics, and opponents putting aside their differences to wish khan good health.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

"oplan bayanihan yapelekea jamii ya lumad kuziacha ardhi zao, lakini pia wanaweka mazingira ya makampuni kumiliki ardhi na pia wanatumia majeshi ya ufilipino kama ulinzi wao huku wakipora na kujizolea maliasili ya madini."picha kwa hisani ya anakbayan usa.akizungumizia habari kuwa shughuli zifananazo za kijeshi pamoja na zile za uchimbaji madini zinachochea kuondosha makabila ya lumad kwenye maeneo yao, raia wengi wa ufilipino wameita sserikali kuchukua hatua mapema iwezekanavyo ili kukomesha ukatili dhidi ya wazawa.

İngilizce

"oplan bayanihan pushes lumads to evacuate their lands, but also paves the way for corporations to take hold of the land, and use the armed forces of the philippines as their own security force as they plunder and suck the earth of its natural elements." image and caption by anakbayan usa.reacting to reports that paramilitary activities and mining operations are displacing lumad tribes, many filipinos have called for urgent government action to stop the violence against the indigenous peoples.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,745,778,130 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam