İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
fanyeni hivyo ili bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule kristo aliyemteua ambaye ndiye yesu.
and he shall send jesus christ, which before was preached unto you:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kutokana na ukoo wake mtu huyu, mungu, kama alivyoahidi, amewapelekea watu wa israeli mwokozi, ndiye yesu.
of this man's seed hath god according to his promise raised unto israel a saviour, jesus:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
watoto wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. lakini, ikijatokea mtu akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa baba, ndiye yesu kristo aliye mwadilifu kabisa.
my little children, these things write i unto you, that ye sin not. and if any man sin, we have an advocate with the father, jesus christ the righteous:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
basi, anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. kisha akaweka mikono yake juu ya saulo, akasema, "ndugu saulo, bwana ambaye ndiye yesu mwenyewe aliyekutokea ulipokuwa njiani kuja hapa, amenituma ili upate kuona tena na kujazwa roho mtakatifu."
and ananias went his way, and entered into the house; and putting his hands on him said, brother saul, the lord, even jesus, that appeared unto thee in the way as thou camest, hath sent me, that thou mightest receive thy sight, and be filled with the holy ghost.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.