İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.
i wrote unto you in an epistle not to company with fornicators:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
marriage is honourable in all, and the bed undefiled: but whoremongers and adulterers god will judge.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.
for without are dogs, and sorcerers, and whoremongers, and murderers, and idolaters, and whosoever loveth and maketh a lie.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ninyi ni watu msio na uaminifu kama wazinzi. je, hamjui kwamba kuwa rafiki wa ulimwengu ni kuwa adui wa mungu? yeyote anayetaka kuwa rafiki wa ulimwengu anajifanya adui wa mungu.
ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with god? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of god.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ukweli ni kwamba sikuwa na maana ya watu wote duniani walio wazinzi, wachoyo, walaghai na wenye kuabudu sanamu. maana, ili kuwaepa hao wote ingewalazimu ninyi kuihama dunia hii kabisa!
yet not altogether with the fornicators of this world, or with the covetous, or extortioners, or with idolaters; for then must ye needs go out of the world.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
huyo mfarisayo akasimama, akasali kimoyomoyo: ee mungu, nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu au wazinzi. nakushukuru kwamba mimi si kama huyu mtoza ushuru.
the pharisee stood and prayed thus with himself, god, i thank thee, that i am not as other men are, extortioners, unjust, adulterers, or even as this publican.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: