İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
hata maswali ya vyombo vya habari yanayoletwa kwetu yamejaa udadisi unaohusu siasa.
even the media questionnaires that come across to us are full of queries on politics.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
acha kuwapa watu habari nyingi kukuhusu ili wasiweze kufafanua maisha yako. uaminifu hakuna mtu .maisha yamejaa watu bandia
stop giving people too much information about yourself so that they will not define your life. trust nobody .life is full of fake people
Son Güncelleme: 2021-02-02
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mauti yamejaa hewani, kwenye mitaa ya gaza, na siwezi kusisitiza zaidi kwamba siongei kwa kutia chumvi.
death fills the air, the streets in gaza, and i cannot stress that this is no exaggeration.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mazungumzo haya yamejaa hisia, kwa hiyo wakati mwingine yanafanya watu wajisikie vibaya. hata hivyo, mijadala hiyo ni ya muhimu.
these conversations are emotional, and therefore uncomfortable. but they’re necessary.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mashirika haya hayajawahi kuwa na wataalamu wanaoendesha bodi husika bali yamejaa wafanyakazi kwa misingi ya mahusiano ya undugu, ubinamu, upwa na ujukuu na wanasiasa
parastatals have not had professionals running the boards but they have been staffed with relatives, nephews, nieces and great-grandsons of the politicians
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
macho yao yamejaa uzinzi na uwezo wao wa kutenda dhambi hauna kikomo. huwaongoza watu walio dhaifu mpaka mitegoni. mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. wapo chini ya laana ya mungu!
having eyes full of adultery, and that cannot cease from sin; beguiling unstable souls: an heart they have exercised with covetous practices; cursed children:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
"ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! mko kama makaburi yaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa mazuri, lakini ndani yamejaa mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu.
woe unto you, scribes and pharisees, hypocrites! for ye are like unto whited sepulchres, which indeed appear beautiful outward, but are within full of dead men's bones, and of all uncleanness.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
kisha mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na yale mabakuli saba yaliyokuwa yamejaa mabaa saba ya mwisho, akaja na kuniambia, "njoo! mimi nitakuonyesha bibi arusi, mkewe mwanakondoo!"
and there came unto me one of the seven angels which had the seven vials full of the seven last plagues, and talked with me, saying, come hither, i will shew thee the bride, the lamb's wife.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor