İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
uwezekano wa kutengana na kuachana katika mahusiano ya kishoga pia yanasababisha mazingira yasiyoaminika kwa watoto wanaolelewa na mashoga kwa kuasili ama vinginevyo, na yanaweza kuwa na matokeo mabaya kisaikolojia kwa watoto hao.
the higher incidence of separation and break-up in homosexual relationships also creates a highly unstable environment for children raised by homosexuals through adoption or otherwise, and can have profound psychological consequences on those children.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kufuatia maendeleo ya kiteknolojia siku hizi, ambayo yanasababisha magazeti katika muundo unaobebeka kuanza kupotea, na watu kusoma zaidi magazeti kwenye mtandao wa internet, uwepo wa gazeti hili ni tunu ya pekee.
with the recent technological advances, where paper newspapers are going extinct because people read them online, this personable touch is rare to find.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"sasa, mafuriko yanasababisha uharibifu mkubwa zaidi" kweli, kama ilivyo kwenye kijiji hiki cha adjohoun chenye wakaazi 56,455, nchi nzima imekumbwa sana na maafa.
"now, floods are more devastating" indeed, like in this village of adjohoun with its 56 455 inhabitants, the entire country has been hit hard by the disaster.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
haiti ina majanga yake, ambayo yanasababisha moyo wa huruma, na sisi tuna majanga yetu, ambayo hufanya uharibifu sawa tu na ule wa tetemeko, matamko kama haya ya rais ambaye anashindwa kuwa mbali na mitafaruku, na ambaye rekodi yake ni chanzo zha utata.
haiti has its own, which generate a lot of compassion, and we have ours, which do as much damage as an earthquake, such as statements by a president who has trouble staying above the fray, and whose is a source of controversy.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: