İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
"twambie mambo haya yatatukia lini? ni ishara gani itakayoonyesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?"
tell us, when shall these things be? and what shall be the sign when all these things shall be fulfilled?
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
heri yake mtu anayesoma kitabu hiki; heri yao wale wanaosikiliza maneno ya ujumbe huu wa kinabii na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati umekaribia ambapo mambo haya yatatukia.
blessed is he that readeth, and they that hear the words of this prophecy, and keep those things which are written therein: for the time is at hand.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini mungu alinisaidia; na hivyo mpaka siku ya leo nimesimama imara nikitoa ushuhuda kwa wote, wakubwa na wadogo. ninayosema ni yale ambayo manabii na mose walisema yatatukia;
having therefore obtained help of god, i continue unto this day, witnessing both to small and great, saying none other things than those which the prophets and moses did say should come:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
watu watakapokuwa wanasema: "kila kitu ni shwari na salama" ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.
for when they shall say, peace and safety; then sudden destruction cometh upon them, as travail upon a woman with child; and they shall not escape.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor